Dah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
Ata huku vivo hivyoDah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
Dah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
Ata huku vivo hivyoDah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
Mkuu kuna vyuo vingine kama ufaulu wako wa mashaka ata bugando usihangaije mfano mtu una physics d chemistry c na biology d utegemee bugando au muhimbili wakudahili mfano capacity ni 100 wanaomba wanafika elfu competition hiyo kubwa mno
Ndio mkuu sasa kama unajua ufaulu siyo mzuri unaomba bugando au muhimbili au kcmc sasa hapo lazima upumulie mashine sawa na kucheza bikoKinachoangaliwa ni ushindani mkuu....japo umezingumza kitu cha kweli ila iwapo ikatokea waliomba wengi wao hawana vigezo na wewe unavyo na qualification zinazohitajika zipo wanakuchukua lakini atachosoma wa bugando na Muhimbili au chuo chochote ni sawa tu,kitakachowatofautisha ni juhudi za mtu na ndo maana kuna waliosoma vyuo vidogo wakachana na vyuo vikubwa wakala disco
Kuwa na subra na tembelea profile yako mara kwa mara kwa sasa hivi hazifunguki ila unapaswa uwe unajaribu kuangalia kila mara.jaman mimi niliomba phamacy lakini link ya kuingia profile hafunguki, kuna yeyote aliye chaguliwa pharmacy anijuze, hapa nilpo nina hofu kweli kuhusu ufaulu wangu nitakuwemo kweli?? math c, bios c, eng c, kisw c, chem d na hist d
Tembelea tovuti ya nacte kwa sasa inafungukajaman mimi niliomba phamacy lakini link ya kuingia profile hafunguki, kuna yeyote aliye chaguliwa pharmacy anijuze, hapa nilpo nina hofu kweli kuhusu ufaulu wangu nitakuwemo kweli?? math c, bios c, eng c, kisw c, chem d na hist d
hizo za moja kwa moja vyuoni zinatoka lini?ushindani ulokuwepo sio wa mchezo nmekosa waliotuma 3518 na walikuwa wanahitajika watu 118 ko nmekosa acha niangalie mwalim nyerere memorial nlituma moja kwa moja chuoni course IT
Sawa mkuuJoining Instructio pia zimetoka unaweza kuingia kwenye profile yako na ukaidownload.