Awamu ya nne ya udahili Astashahada na Stashahada imefunguliwa

Nina mdogo wangu O-level ana division 2 na A-level kapata division 3 sasa anataka kusoma Diploma in Clinical Medicine au Diploma in Computer lakini kila nikijaribu ku-search hizo course ili nijue ni vyuo gani ambavyo wanapokea Application awamu hii NIMEFELI.

Nimeingia Web ya NACTE nako sijafanikiwa. Please wadau wa elimu naomba mwenye kujua vyuo hivyo atusaidie iwe rahisi kwenda kwenye Web husika ya chuo na ku-apply.
 
Subiri mwakani vyuo muda huu vimejaa na udahaili umefungwa hiyo taarifa hawakufafanua ni vyuo vya kada ipi.
Nina mdogo wangu O-level ana division 2 na A-level kapata division 3 sasa anataka kusoma Diploma in Clinical Medicine au Diploma in Computer lakini kila nikijaribu ku-search hizo course ili nijue ni vyuo gani ambavyo wanapokea Application awamu hii NIMEFELI.

Nimeingia Web ya NACTE nako sijafanikiwa. Please wadau wa elimu naomba mwenye kujua vyuo hivyo atusaidie iwe rahisi kwenda kwenye Web husika ya chuo na ku-apply.
 
Udahili wa sasa unaenda chuo husika kama wana nafasi ndio unaomba kupitia kwao.

Back
Top Bottom