Recent content by Ynamo

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

    mmmhh hatari
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

    kuna sehemu anayo omba huyo si bure,
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa, nataka kununua Kiwanja

    Habari wanajukwaa. Ninataka kununua kiwanja naomba kuelekezwa ni vitu gani vya msingi kisheria ambavo natakiwa kuvifanya.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nina viuvimbe vidogo kama vinundu pemben ya sikio

    jaman hata mie mwanangu anavyo vina muda mrefu kidogo lakini haviumi wala haviwashi,je vinasababishwa na nini
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu ugonjwa wa (tb)

    apime na kipimo kikubwa pia
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na uso soft jamani

    Chinekeee meeee!ewoooo heh!
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    hujakosea mkuu,ni miaka 6
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    sasa bas kwa nini kijana asiweke wazi kulikoni akiulizwa anakuwa na ooh trust me our dreams shall come tru nyiiiiiingi
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe ananing'angania

    huyo mama mkwe nae kilaza ina maana huyo mdogo mtu nae akizingua atataka alipeleke yeye mwenyew sa sijui jamaa atapiga na mama mtu...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    mkuu Himidini,tatizo jamaa haeleweki sometimes anaonesha matumaini sometimes ndo vile tena ndo mana bint anakuwa hamsomi
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    kama sijakosea ni kuwa watu wakiishi pamoja kama wanandoa kwa muda wa miaka miwili inakua kama ndoa na anaweza kudai haki zake au ikoje mkuu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    eeh anasubiri si wanasemaga true love waits au ni ka msemo tu?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    si anaweza kudai na fidia ya kupotezewa muda eeh
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

    Habarini wandugu,tumsaidie mawazo huyu mwenzetu,yuko kwenye relation kwa almost 6yrs na wana mtoto mmoja wa 2yrs(walimpata wakiwa chuoni) stage waliyofikia ni kujulikana kwa wazazi wa pande zote mbili ila mahari haijatolewa,sasa binti akimuuliza kijana kuhusu further steps kijana anapiga...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Enyi Tanesco Shinyanga mna matatizo gani?

    Ni siku ya nne sasa umeme wenu umekuwa wa mashaka,dakika 5 upo dakika 2 umekatika. kama kuna mgao mtuweke wazi basi au hata mtuambie tatizo ni nini hasa,sio kuwa vimulimuli mtatuunguzia mali zetu bure na fidia msilipe,. umeme wenyew mwaupandisha bei kila kukicha na bado kuupata mpaka jasho...
Back
Top Bottom