Jackwillpower,
Kanisa katoliki linaamini kuwa ujio wa Yesu Kristo ulileta mtazamo mpya , na ndio maana ya kuwa na agano la kale na agano jipya katika biblia takatifu, hata hivyo kuwasiadia tu wasioelewa ufufuko wa Yesu kristo ambao ulikuwa ni siku ya jumapili ulibadili uelekekeo na siku ya...
Tunahitaji watu kama huyu mama hapa Africa , ambao wanaweza kuisema kweli na kuisimamia kweli hata kama itagharimu maisha yao, Hakika historia itakukumbuka Dr.Roselyn Akombe na hata vizazi vijavyo vitaikumbuka barua yako , inafaa iwe case study ya kufundishia watoto wetu somo la maadili...
Social work ni taaluma nzuri na soko lake linaongezeka siku hadi siku , anaweza kufanya kazi kama Mshauri nasaha katika hospitali na vituo vya afya popte ndani na nje ya nchi. pia anaweza ajiriwa katika miradi mbali mbali ya kijamii katika mashirika yasiyo ya kiserikali au hata akafungua shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.