USHAURI: Course programme za Social Work!

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Wakuu salama.

Naomba ushauri wenu kuna dogo anahitaji kusomea either Postgraduate diploma in social work au Masters.

Anaomba ushauri kuanzia marketability ya Course yenyewe (SOCIAL WORK) na ikiwezekana pia changamoto zake na mengineyo.

Naomba tumsaidie Wakuu.
 
Social work ni taaluma nzuri na soko lake linaongezeka siku hadi siku , anaweza kufanya kazi kama Mshauri nasaha katika hospitali na vituo vya afya popte ndani na nje ya nchi. pia anaweza ajiriwa katika miradi mbali mbali ya kijamii katika mashirika yasiyo ya kiserikali au hata akafungua shirika lisilo la kiserikali la kwake ambalo litajihusisha na masuala ya kijamii.Changamoto za kijamii ni nyingi na wao ndio wanaandaliwa kushughulikia changamoto hizo. Namshauri akasome masters ya Social work kama ameshafuzu bachelor degree ya social work au any other related degree kama vile afya , sociology, na nyinginezo.Chuo kizuri ni Chuo Cha Ustawi wa Jamii kilichopo Kijitonyama ,Dar es salaam
 
Back
Top Bottom