Habari want jf, natumaini Nyote mpo poa, naomba msaada wa kuweza kupakua kila program nikitaka kupakua nitumie search engine ipi nikihitaji program kwa kutumia PC
Duuh! Singida siyo mwenyeji ila naamini wanapatikana, Mi nipo Kasulu ,wasukuma wengi wanao ukienda maporini, jaribu na huko uliko kwenda ambako Wapo naamini utapata.
Miradi iko mingi sana,
Mfano
Andika juu ya mradi wa Kilimo cha mboga mboga Mtwara ni shida upatikanaji wa mboga
Mradi juu ya kulima matunda.
Mradi wa kufuga kuku wa kienyeji.
Mradi wa kuosha magari
Kiufupi fikirieni ni nini ambacho hicho kikundi chenu mnanuwia kufanya? Je kina malengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.