Recent content by yewomi

  1. Y

    Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Umenifanya nianze kulia upya,, nimefiwa na mama yangu mwenzi uliopita,, mbaya zaidi nimepata tu kazi na yeye akaondoka, hajaonja hata matunda ya kunilea mwanae naumia sana,, R. I. P mum,, namiss sana mama yangu inauma kumpoteza mzazi uliyekua unamtegemea
  2. Y

    Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

    Naomba kuuliza,, mfanyakazi wa serekalini anaruhusiwa kuwa wakala wa chama
  3. Y

    Tumelelewa na 'mama'! Je baba na nduguze wanastahili kuitwa kwenye mahari?

    Aliwakataa mbele ya mahakama alafu mumpe mahari,, hafai hata kushuhudia hyo ndoa fanyeni mambo yenu wenyewe
  4. Y

    Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

    Mkapa hakukosea kutuita malofa na wapumbavu,,, hapo bado titawachagua tena kwa kishindo,, ee mungu fungua ufahamu wetu bila wewe hatuwezi
  5. Y

    Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Ee mungu saidia dr.slaa asiondoke CDM
  6. Y

    Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

    Mwambie na huyo mama yenu ukonga tunataka maji,barabara,umeme na hospitali.
  7. Y

    Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

    Kama ubungo hawamtaki watuletee ukonga huku hatuna mbunge tunahitaji mbunge kama Mnyika aje atuokoe
  8. Y

    Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

    Ccm kwa vitisho mnajiweza ila yote yanamwisho
  9. Y

    Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

    unachuki na mange wewe!.hata kwenye mambo ya muhimu unaleta chuki!.shame on u ndo mana kila siku kulalamika nchi inazid kuyumba coz ya wat kama nyie mfyuuu
  10. Y

    CUF ina kila sababu ya kugombea jimbo la Kinondoni

    Unamatatizo wewe,.chadema wanakunyima usingiz sana naona,.jengeni chama chenu kilichopo icu ya ukawa tuachie wenyewe
  11. Y

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Mnashindwa kutekeleza majukumu yenu mnasingizia chadema!.kama nchi imewashinda mseme msaidiwe,.kila kitu chadema chadema,.huo muda mnawaza chadema mngetatua matatizo ya wananchi
  12. Y

    ZITTO KABWE Ulimi umeteleza ama? Kuanzisha chama ukiwa ndani ya Chadema ni Uhaini!

    We nae sasa wamechanganyikiwa kwa kulipi!.kuhoji alichosema Zito ndio kuchanganyikiwa nadhan wewe ndio umechanganyikiwa,byee
  13. Y

    Mrs Salome John Komba! Mwanamke mvumilivu, jasiri! Wake za viongozi igeni mfano huu

    Yeah huyohuyo!.mtoto akafukuzwa na baba rafiki yake akawa mama mwenye nyumba!.yan mtu anafanya uchafu had kwa rafiki wa mwanae
Back
Top Bottom