Mimi binamu yangu mmoja aliachwa baada kumpakulia boyfriend wake kipapatio weeee alijuta...kikwetu kimatako na kichwa cha samaki cha baba mwenye nyumba....sasa mimi na mume wangu inabidi tunawekeana zamu ya kula vichwa vya sato na hicho kimatako cha kuku
Hivyo viwanja navitaka sana ila hiyo goba matosa unaingilia mbezi beach samaki au ni wapi,maana kuna goba unaingilia mbezi beach,elezea na useme umbali kutoka barabara kubwa ni km ngapi mkuu nikutafute wend tuanze mchakato
Huyo mtu sura yake ni ya kiwiziwizi kabisaaaa,hizi biashara za kumkabidhi mtu mtaji unaohamishika wote inabidi kuwa makini sana na kumuomba Mungu akupe mtu mwaminifu,dah warombo kwa wizi tu hawajambo,pole nikiona sura kama hiyo hata kama ni kaka yake nakupigia mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.