Viwanja vya bei nafuu sana vinauzwa goba

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
279
Reaction score
35
VIKO GOBA MATOSA SIZE 20*20 3MILLION, 25*20 3.5MILLION,
40*20 6MILLION NA 40*25 7MILLION MAONGEZI YAPO.
VYOTE VINAFIKIKA KWA GARI na UMEME UKO JIRANI.

piga0718334726 kwa taarifa zaidi.
 
Hivyo viwanja navitaka sana ila hiyo goba matosa unaingilia mbezi beach samaki au ni wapi,maana kuna goba unaingilia mbezi beach,elezea na useme umbali kutoka barabara kubwa ni km ngapi mkuu nikutafute wend tuanze mchakato
 
vimepimwa???? Umeme uko karibu - maji je????
 
Goba ni mbezi beach iliyopo mpakani. Goba inakuwa kwa kasi, nyumba nzuri, watu wastarabu. Go on Goba. Ukinunua hiko kiwanja kwa thamani ya pesa hiyo, after 3 years utapata mara tatu zaidi.
 
Hivyo viwanja navitaka sana ila hiyo goba matosa unaingilia mbezi beach samaki au ni wapi,maana kuna goba unaingilia mbezi beach,elezea na useme umbali kutoka barabara kubwa ni km ngapi mkuu nikutafute wend tuanze mchakato
viko about 6km kutoka Tangibovu mbezi beach au unaweza pia ingilia makongo juu.
 
Hizo 20*30 na kadhalika ni nini?..kilomita mita futi miguu au mikono?....maana viwanja vingine ukienda kununua mnaishia kugombana na muuzaji..ohh miguu yako mirefu mara ohh mie ndio nikupimie miguu yangu naijua....upuuzi mtupu.
Kama kipimo ni miguu mie sihitaji mauzo mema...ila kama ni mita mie ni mteja wa kwanza.
 
kipimo ni mita.
 
Tupate ufafanuzi wa maana ya sentensi "BEI NAFUU SANA" kwa wataalamu wa kiswahili.
 
VIKO GOBA MATOSA SIZE 20*20 3MILLION, 25*20 3.5MILLION,
40*20 6MILLION NA 40*25 7MILLION MAONGEZI YAPO.
VYOTE VINAFIKIKA KWA GARI na UMEME UKO JIRANI.

piga0718334726 kwa taarifa zaidi.

Mkuu hivi ni kati ya vile viwanja vya Matosa vilivyopimwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom