Recent content by yes2017

  1. Y

    Sina kazi wala kipato chochote; nadharaulika na ndugu zangu

    oooh pole sana ndugu.jipe moyo hauko peke yako pia usikate tamaa amini Mungu atafungua mlango
  2. Y

    Kwanini sitaki kupata mtoto

    Iwe uko sahihi au usiwe sahihi,mie nimependa MSIMAMO wako na ulivyoweka wazi jambo lililoko moyoni mwako. Wewe ni He au she?kuwa mkweli utanisaidia kitu
  3. Y

    Hawa ndio wanaofanya kazi zenye siri nzito

    madalili wa vyumba,nyumba za kupangisha
  4. Y

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Uzi umenifundisha mengi ....japo mbavu zangu zinauma
  5. Y

    Mfanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Pension (PPF) Anitha Oswald (32) Ni Mtuhumiwa wa Kusafirisha dawa za Kulevya

    Kwenye maisha ikitokea/au mazingira yamekulazimu au umeamua kufanya dili haramu yeyote kama huyu dada ili usikamatwe mambo 2 yazingatie. 1.Usiwe na tamaa sana-ukishapiga dili yako ikatiki fresh acha mara moja tatizo linakuja watu wanakuwa na tamaa sana mpaka wanakamatwa 2-.....
  6. Y

    Nauza kiwanja msakuzi

    Habari. Nauza kiwanja kipo msakuzi karibu na makabe -ukubwa ni square meters 400(20 kwa 20) -kipo eneo tambarare sio bondeni ni barabarani unaweza weka frames kwa mbele -Hakina hati bado, ila ndo tupo kwenye mchakato wa kupata hati kwa wakazi wa eneo hilo na mwaka huu wameanza kupima -Bei ni...
  7. Y

    Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    mmmh sasa hicho kitinguu saumu na ndimu unamba siku zote mbona ni kibarua sana.sali kwa imani yako upate ulinzi kama ni mkristo iite damu ya Yesu ikufunike utalala kwa amani zote
  8. Y

    Nahitaji power bank ya laptop

    asanteni nimepata mwangaza.jf idumu
  9. Y

    Nahitaji power bank ya laptop

    Habari wakuu, Nahitaji power bank kwa ajili ya laptop yangu,naomba kujua kwa anayefahamu zinapopatikana.nipo dar. Thanks.
  10. Y

    Wapi nitapata power bank ya laptop

    Habari wakuu. Naomba kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana powerbank za laptop.nahitaji moja nzuri kwa ajili ya laptop yangu.
  11. Y

    Mliooa mnastahili pongezi

    acha ubinafsi wewe, mwanamke kwani hana uhuru wake atakaoutoa kwako? kwanza unaweza kuja kuoa mwanamke akakuzidi kila kitu mali,pesa,elimu,uzuri na akili yaani unamkuta mwanamke yuko vizuri kukushinda
  12. Y

    Hali ngumu ya maisha na kuongezeka kwa vikwazo vya kimaisha

    oooh pole jamani ni mapito huwa yanapita tu ila chunga jitahidi usilalamike na kunungunika kwa Mungu.halafu hauko peke yako yana haya maisha kila mtu ana yakwake tunatofautiana issues ma time tu. Kuwa mwangalifu kipindi hiki si cha kudanya maamuzi ya kukurupuka mfano wasema wataka kwenda...
  13. Y

    Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Mwanamume ambaye hujampenda na hajakuvutia nae utawezaje kwenda kumtii? Na usipokuwa tayari kwenda kumtii ni janga umelitafuta kwa ndoa yako. Usikubali dada haya maisha ni mafupi sana kukubali kuishi hadi kifo na mtu asiyekuvutia kimapenzi. Tafakari chukua hatua....
  14. Y

    Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Kama hajakuvutia kimapenzi usikubali kuolewa nae.Ni muhimu mwenza wa maisha akuvutie japo kiasi.mwenza anayekuvutia ni rahisi sana kuchukuliana nae ktk madhaifu yake.hata siku akiumwa automatically utajikuta unaweza mbembeleza ala chakula na kumlisha. Tabia njema peke yake haitoshi dada utajuta.
Back
Top Bottom