Recent content by Yelawolf49

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba Fukayosi, Kiwangwa au maeneo ya jirani

    Ntapata kwa bei gani boss
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba Fukayosi, Kiwangwa au maeneo ya jirani

    Habari wanajamvi, Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa kisima, nina idea ya investment ya muda mrefu ya kilimo na ufugaji, heka bei iwe 200-250k per heka...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vyuma chakavu

    Mkuu kwa dar labda nikuulizie mm niko based arusha na moshi
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vyuma chakavu

    Uko mkoa gani mkuu?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Kipo sehem gabi na ukubwa mkuu?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vyuma chakavu

    Chalii kama una mpunga walau 7 to 8 unaweza anzaa na chuma pekee achana na ma brass copper etc. hilo la polisi ni ww na nyokaa wako kuwa na msimamo, achana na nyara za serikali kama reli etc. vingine vyote vinazungumizika piga moyo konde anza
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Pura kawaida
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Hapana I didn’t nlishindwa jibu moja
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Best advice nlipewa before oral ni fanya mazoezi ya kuzungumza hata mbele ya kioo spent 2 days doing just that niko moja ya taasisi hot through my first trial, confidence ndo kila kitu.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 4.5m unatosha kuanzisha sehemu ya kuchezesha playstation games?

    Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mimi ni software developer/engineer

    Share github account yako meku kama uba project yoyote umefanya
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ulipaji kodi TRA

    Wasalaam ndugu zangu. Hali iliyonikuta ni kuwa nlikua na biashara ndogo nliachiwa uendeshwaji wake kwangu na shule ikawa changamoto ikafa nikahangaika na vitu vingine sasa nataka kufungua biashara mpya napata taarifa kwa watu kuwa itabidi nilipie kodi miaka 4 nlokua nimefunga ile biashara. Je...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

    Wabongo bwana watu tulienda fanya interview 1400 nafasi moja
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    NHC officer 2 ni ngapi wakuu
Back
Top Bottom