kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 721
- 907
Vyuo vya ummaHii ni standard kwa vyuo vikuu vyote nchini au.?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Vyuo vya ummaHii ni standard kwa vyuo vikuu vyote nchini au.?
#MaendeleoHayanaChama
Sio kweli
Walete namba au salary slip wanatudanganya hapaMshahara ni namba... weka namba tuone wwnyewe
Nina jamaa yangu alikuwa anafanya kazi hapo, kaacha kaingia serikalini.
Alikuwa Afya na Mazingira ila malipo yalikuwa 500K halafu kazi nyingi mpaka usiku
Sio kweli
Kuna manzi yupo cbe kama tutorial assistant, basic ni 1.2m.
Mkuu hii ni kweli?TA 1.77milion
Ass Lecturer 2.54m
Lecture 3.8milion
Senior Lecturer 4.8+
Professor 6 milion
Mishahara ya kawaida sema marupurupu na safari , vikao na madili yapoya kutosha otherwise ofisa mwenye degree anaanza na 1.3-1.6 plus hela ya nyumba lakin nne hapo haijakatwa Kodi na makato mengine na Senior analipwa kama milioni mbili na laki sta sema kuna marupurupu ya nyumba nadhani laki sana pamoja na simu nk.Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
Kwa hiyo kama TAKUKURU wao wanalipaje?Mishahara ya kawaida sema marupurupu na safari , vikao na madili yapoya kutosha otherwise ofisa mwenye degree anaanza na 1.3-1.6 plus hela ya nyumba lakin nne hapo haijakatwa Kodi na makato mengine na Senior analipwa kama milioni mbili na laki sta sema kuna marupurupu ya nyumba nadhani laki sana pamoja na simu nk.
Hii pesa ya nyumba unalipwa kwa mkupuo mwezi wa Saba hapo ndipo mtu hununua gari mpya, nyumba unamalizia au miradi fulani maana piga kama laki Saba Mara 12 sio haba.
Otherwise pesa ya madili ni ujanja wako tu hakuna maajabu sana msikariri.
Sijajua rate zao kwakweli Ila ukiwa na degree na kuendelea rate nyingi zinakaribiana sana pia inategemea wamekuajiri kwenye hiyo post kulingana na mahitaji ya elimu gani na cheo gani utaanza nacho.Kwa hiyo kama TAKUKURU wao wanalipaje?
Mfano kwa investigation officer alaf una degree ya uhandisiSijajua rate zao kwakweli Ila ukiwa na degree na kuendelea rate nyingi zinakaribiana sana pia inategemea wamekuajiri kwenye hiyo post kulingana na mahitaji ya elimu gani na cheo gani utaanza nacho.
Ngumbaru tumejaa chuki binafsiKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the rowWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
1. TPDC | 1.8m |
2. TCRA | 3.5m |
4. Ngorongoro | 1.8m |
3. Ewura | 1.8m |
4. WCF | 2.0m |
5. TBS | 1.8m |
5. TANAPA | 1.8m |
5. Tume ya madini | hawa below 1.5m |
6. Mamlaka ya chakula na dawa | 1.7m |
7. SSRA | 2m |
8. NSSF/PSSSF | 2m |
9. BOT | 1.8m |
9. Bunge | Hawa below 1m |
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali | Hawa sijajua |
10. TASAC | 2m |
10. TRA | 2.3m |
11. MSD | 1.8m |
11. TAKUKURU | Sijajua bado |
11. EGA | 3.07m |
12. NHIF | 1.7m |
13. TPA | 1.6m |
13. TIC | Sijui bado |
14. KADCO | hawa below 1.5m |
15. TANESCO | 1.2m |
16. TANROAD | Sijui bado |
17. TAA | 1.35m |
Kumbe tpdc huwa tunadanganywa tu?Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
Kumbe tpdc huwa tunadanganywa tu?
Kumbe tpdc huwa tunadanganywa tu?uo
Unanijibu mimi au nani?Nacheka sana umekosea baadhi tena sana