Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Niliona kuna post moja wameandika salary ni TPGS5 kwa TPA hapo ni kiasi gani mkuu..?
Bora TPA, TRA kuliko hapo jeiwii.

Hayo mashirika ya kiserikali, yana pesa nyingi mno mbali na mishahara. Tazama maafisa wengi wa hayo mashirika, tazama na maafisa ya jeshi kimaisha.

Achana na TANAPA, TRA, TPA n.k

Kuna watu kwa mwezi nje ya mshahara wanakunja mpaka 10m.
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Toa TAKUKURU
 
Back
Top Bottom