Recent content by yechu yechu

  1. yechu yechu

    Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

    Huku weng ni wawamva ngoma wanavutia kwa upande wao ila kmsingi ndugu alitoa ufafanuzi wa kina na wa kueleweka utafikir kafanya Kazi miaka 20 Tanesco
  2. yechu yechu

    Rais asipofanya haya, ataendelea kukopa mpaka mwisho wa Utawala wake

    Ni nchi gani imeumiza kichwa na haikopi mzee ili iwe mfano kwetu mama asiendelee kukopa
  3. yechu yechu

    Rais asipofanya haya, ataendelea kukopa mpaka mwisho wa Utawala wake

    Type mfano wa izo nchi free and independent
  4. yechu yechu

    Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

    Lamva lolo wewe acha undezi kwani unataka kuoa we c unataka kufunua na kujua yaliyomo basi usisite Peleka motoo
  5. yechu yechu

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kuchanganya pombe kali na energy kunaweza pelekea mvurugiko wa tumbo sambamba na kuhara maana nna siku ya tatu siingii kazn wala sifanyi chochote sababu ya tumbo
  6. yechu yechu

    Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    Waweza kuwa na stress sana juu ya kazi au maisha kwa ujumla lakini ukirudi nyumbani ukakutana na familia na mke yaani stress zote tupa kule
  7. yechu yechu

    Badilika kulingana na mabadiliko

    Hakika mtu aliyeishi haya furaha I ndani mwake hata kama atalala na njaa
  8. yechu yechu

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Kweli mkuu
Back
Top Bottom