Recent content by Yana Mwisho

  1. Y

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mkuu skype, hao airtel ndo wezi kupindukia. Hawakunasa tuu. Nilinunua bundle nikapata mb127, ndani ya dakika 28 za kusoma email hizo mb zimeisha na wakatafuna airtime yangu laki na sitini na tano! Kupiga customer care hamna kitu. Kwenda ofsn kwao wakasema watarudisha network yao ilikuwa na...
  2. Y

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom, mnashughulikia tatizo langu kwa kuwa ni general problem au? Hii meseji yenu nitaitumia kama ushahidi ikitokea mmelamba salio langu muda huo ukifika
  3. Y

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda mbona hamjibu maswali yangu? Kwanini mnaniwekea limit ya kukaa na vocha kwenye line yangu?
  4. Y

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Line yangu huwa nawekewa salio na ofisi na naweka salio pia. Sasa nina salio niliweka huwa halitumiki mpaka la ofs liishe. Nikiangalia salio kwa sasa mnaniambia kufikia 04.12.2014 niwe nimelitumia limeisha!! Je, hii ni haki? Kwanini mniwekee limit ya muda ya kuwa na salio kwenye cm yangu?
  5. Y

    Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

    Mfuko wa hifadhi ya jamii unachangia asilimia ngapi? Ukisema hiyo nitakwambia kama kodi ni sahihi au sio
  6. Y

    Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

    Sheria ya kodi inasema 'pato lolote mtu analopata kutokana na kazi linatakiwa likatwe kodi' kwahiyo hata hizo taasisi za serikali zisizowakata wafanyakazi wao kodi ni kinyume na sheria.
  7. Y

    CRDB, kwa mtaji huu bora niwarudishieni kadi yenu ya Junior Jumbo

    Bank charge ninazozifahamu ni pale unapodraw kwa atm ni 700 TRAnsaction, monthly charge najua ipo pia ila nafkiri mtu anaposema arrears nahisi ni gharama ulitakiwa uchagiwe lakini hawajacharge! Ukiangalia kwenye statement yako kama unafuatilia utagundua ninachosema ni charge isiyojulikana chanzo...
  8. Y

    CRDB, kwa mtaji huu bora niwarudishieni kadi yenu ya Junior Jumbo

    Mkuu carnys, ni branch ipi hapa Dar umeenda ukapewa huduma nzuri? Natamani nami niende hapo. Kila mwezi unakuta wamekuandikia ' charge arrears' hapo unakatwa kati ya 1500-2000. Ni zipi wakati hata ukichomeka kadi na huku atm mashine haina hela unachargiwa? Hata mi sina hamu nao
  9. Y

    Watu wawili wachomwa moto Tabata

    Wizi/ujambazi sio mzuri kabisa. Majuzi huku kwetu jet mwisho wa lami hatukulala, tangu saa nane usiku ni risasi zinapigwa tuu na jamaa walikuwa na pikipiki. Walikuwa wanazunguka utafikiri nyumba kwa nyumba na wanatupa risasi mpaka saa kumi hatukuona polisi wala nani kutusaidia. Mungu mkubwa...
  10. Y

    Kunani Yombo??

    Yaani tangu saa nane milio ilipoanza sijalala kabisa! Ni majambazi au askari wanafanya zoezi?
  11. Y

    tendo la ndoa kwa mama anyonyeshae ni vibaya?

    Ninavyofahamu mtoto kama ananyonya vizuri na mama yuko tayari kumnyonyesha of course, mama anyonyeshaye hawezi kuona siku zake (normal montly mp). Na kama mama haingii kwenye mp ina maana hawezi beba mimba. Hiyo ni kweli, na nimeshaiprove beyond doubt. Wewe mpe mkeo lishe nzuri na muencourage...
  12. Y

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    wapo, tena weingi. Kama unaweza fuatilia utakuja niambia humu humu jf!
  13. Y

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Ninachofahamu ni EAG na si TAG, ebu fatilia vizuri best man!!!!
  14. Y

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Kama malipo yataenda kwa huyu mheshimiwa kwanini tusimpigie magoti atuonee huruma watanzania jamani?? nafikiri nae ni binadamu na nahisi (sina uhakika) atakuwa na chembe ya huruma. Tukienda ni kina mama wajawazito, watoto waishio mazingira magumu, wanafunzi wanaokaa chini kwake huku machozi...
  15. Y

    Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

    Ni kile watu husema 'wanavuna walichopanda'
Back
Top Bottom