Recent content by yaliyomoyamo

  1. yaliyomoyamo

    In science kuna kitu kinaitwa confirmatory test. BBC, CNN and the like zinaangukia katika kundi hilo

    Nadhani kwenye nchi za dunia ya tatu hilo uliloandika linawezekana! Lakini sio kwenye nchi za dunia yenye nguvu kama China au Urusi , sidhani kama hizo western media zinaweza kumwambia kitu xi jiping au vladimir putin.
  2. yaliyomoyamo

    Kijana Mzalendo aomba uraia wa Bashe uchunguzwe

    Kama ni kweli basi Hii inadhihirisha ubutu na kupwaya kwa idara yetu ya usalama wa taifa na ujasusi tiss. Mpaka raia wa kigeni hasiye mtanzania halisi anateuliwa na kupewa uongozi wa juu wa nchi, na idara ya usalama wa taifa ipo na haijui wala haina taarifa nae, hapo kuna shida mahali, na...
  3. yaliyomoyamo

    Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Hapa kuna ukweli fulani, japo sio wanawake na wanaume wote! Kuna wanawake wa Tanga naishi nao hapa, wasambaa, aisee wanaongea kama chiriku hadi kero, na ni wachepukaji hatari, wote ni wake za watu lakini ni hatari, mmoja kasemwa hadi kaamua kuhama mtaa! maana alizidi kuchepuka hadi ikaonekana...
  4. yaliyomoyamo

    Hivi Eatv na Star tv ni vituo vya kidini ya kikiristo?

    Azam tv ni Izbullah au Hamas??? Azam ni Al Qaida au Taleban??? Azam ni ya Mujahidin au Houth??? Azam ni Al shabab au Boko Haram??? Kweli Nyani haoni Kundule,,, Mwambie na Said Salim Bakhresa aache udini kwanza??? ndipo uwaambie wakina Joyce Mhavile na Antony Diallo... Maumivu...
  5. yaliyomoyamo

    Nimeamua kustaafu rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari baada ya kuhudumu miaka 30. Niko free kujiunga Siasa, nimejiunga CCM na nitagombea Ubunge

    Pascal Mayalla namkubali sana anajielewa na anajua nini anachofanya...! ila swali langu moja tu kwako mkuu, hivi wewe sio "mtu wa kitengo kweli...?!" wewe sio "afisa kipenyo kweli...?!" wewe sio "mtu wa mfumo kweli...?!" haupo humu kwa "kazi maalum kweli..?!" kila la heri mkuu Pascal...
  6. yaliyomoyamo

    Tuko salama kiasi gani kwenye mitandao: Msikilize Maxcence Melo, JamiiAfrica CEO

    Usalama wako ni jukumu lako mwenyewe! Usimkabidhi mtu mwingine jukumu la kulinda maisha yako!
  7. yaliyomoyamo

    Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Umemaliza kila kitu, hili ndilo jibu sahihi sana!
  8. yaliyomoyamo

    Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

    Watu kama nyie ni wachache sana katika dunia ya leo! Ni mmoja kati ya mamilioni...! Hawazaliwi kila siku! Sifa ya watu wenye uelewa mkubwa sana ni kuelewa mambo yasiyo eleweka...!
  9. yaliyomoyamo

    Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

    Lakini ingekuwa kinyume chake huyo mama ndo kampelekea mchungaji laki sita, huyo mchungaji wala hasingeshtuka wala kuhoji bali angedai ni maelekezo kutoka kwa mungu! Kazi kweli kweli...!
Back
Top Bottom