Recent content by YALE

  1. YALE

    JamiiForums Tanzania Kama washauri wenyewe wa Chadema ndio hawa...

    Mkuu Uko ni Sangapi saivi?
  2. YALE

    JamiiForums Tanzania Ni definition gani ambayo umewahi kukutana nayo wakati unasoma sekondari au chuo na hutaisahau kamwe?

    Sun is the star, Form two hio Geography
  3. YALE

    JamiiForums Tanzania Double agents nguli wanne kuwahi kutokea katika ulimwengu wa ujasusi

    Second to reply
  4. YALE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hii species ya watu wenye miili mikubwa imepotelea wapi?

    Technology ndio imeleta hii generation watu hawatembei tena miles , Mashine za Kuwafanyia kazi zimejaa ivo Mambo ya Kuminyana yanayojenga muscles za mwili yamepungua sana,
  5. YALE

    JamiiForums Tanzania DED wa Mafia kumsimamisha MD ni kosa kubwa mbele ya Mungu; Aliyekuteua ajue kwa unapwaya

    Wewe kweli doctor umeandika sana mcharazo, Pole kwa kusimamishwa mkuu je umechukua hatua gani au ndio umekuja kutafuta huruma mitandaoni huku
  6. YALE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau nilivyodhalilishwa na baamedi nilipojaribu kumtoroka bila kumlipa

    Barmed na malaya wa wazi wazi sio watu wazuri kabisa mimi hata kulala nao hapana, Napiga show iwe saa Saba au saa nane lazima nimchomoe tu asepe
  7. YALE

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Mkuu Mimi nimeyaongea hayo kama mtaalamu wa Umeme, kama ni ivo basi ata pasi isungeshauriwa kuigusa ili ujue kama imepata moto uanze kupasi, Kikawaida Heater ni element inayofanya conversion kutoka umeme kwenda joto, Voltage ikiwa applied Basi heater hutengeneza Drop kubwa sana hio drop...
  8. YALE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesi ya mwalimu Ayubu wa St Florence imeishia wapi?

    Kwa sampuli izo Za insta tangu watoto wadogo, Unakuta mtoto mama ake ana danga na danga lenyewe linaletwa ndani, Sioni kosa la Ayubu ambaye amefata natural
  9. YALE

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Huu uzi imebidi niu subscribe Mana utaniongezea siku za Kuishi
  10. YALE

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Hio heater mbovu mkuu, Kiuhalisia haikupaswa kukutetemesha
  11. YALE

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Hahaha Chalii we ni kiazi asee Hahahaha
  12. YALE

    JamiiForums Tanzania Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

    Ngekewa
  13. YALE

    JamiiForums Tanzania Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

    Umemsahau Ngekewa asee anapendwa na wanyama Wengi sana, Ila Pomboo ni Shidaa ana huruma sana
  14. YALE

    JamiiForums Tanzania Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu

    Machotara hawaaminiki kabisa mana ndio Double agents wa Intelligence community nyingi Huwa na maisha magumu tu kama watakuwa ndani ya Mifumo ya serikali
  15. YALE

    JamiiForums Tanzania Kufagia barabarani na kuzibua mitaro ni udhalilishaji kwa wanajeshi wetu

    Mkuu usafi ni Swala la kijamii wala halina hadhi leo eti ni sawa useme umeamka usifagie wala kutandika ulipo lala kisa mke na House gal wapo hapana Hio mara moja moja sio mbaya kufanya lazima hao wanajeshi wachanganyike na Jamii ili kuleta mahusiano Nao Mazuri, Rais mwenyewe kuna wakati...
Back
Top Bottom