Recent content by yakwetu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nani anamfahamu John Legend

    Ni wakawaida ndiyo maana angekuwa wa ajabu watu wasingekuwa wanamkubali na kumpa heshima wampayo. Ila ujiangalie ww inaweza ukawa si wa kawaida maana haiwezekani wengi wamkubali halafu ww tu na wenzako wachache
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu: Mume wa zari anataka "KUNIOA"

    Acha mahaba ya ajabu kwa si ukweli kuwa Wema ni malaya? Hapo alipo ana list ya midume kibao iliyokwisha mkaza achilia mbali isiyokuwa na majina. Kumbe tafasiri ya umalaya kwako mpaka aliyetembea na wewe au mzazi wako?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Clouds FM acheni Utoto

    Acha kuwa mgumu wa kuelewa. Ikiwa nyimbo unaweza ku mute na bado ikasikilizika na kuleta maudhui yaliokusudiwa kwenye wimbo husika wata mute sauti ya JD na kupiga wimbo. Na ikiwa ukii mute inapoteza maudhui basi haitapigwa kabisa.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania sperm kutoka zikikiwa zimegandana

    LOooooh!
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua pikipiki, nina laki 6

    Anza na baiskeli mkuu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    Kwani trace afrika top 10 kuna nini maana mie nilitazama mpaka tisa bahati haikuwa yangu luku ikaniishia yoyote aliyetazama kipindi chote anijuze jamani
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    Jingaaaa.... Kwani hauwezi kusifia pasipo kulinganisha wala kutoa kasoro vitu vya watu wengine? Jingaaaaaaaa sana wewe
Back
Top Bottom