Nani anamfahamu John Legend

Nani anamfahamu John Legend

Namfaham hata kwetu zanzibar alishawah kufika na ku shooting.
 
John legend napenda sana ule wimbo wake wa show me alio shoot zanzibar yaan napenda lyrics zake ni kama sala anamuuliza Mungu kwanini anaruhusu maangaiko yanayokea maishani
 
Namfahamu kidogo,
Kuna project walikua wanafanya na uncle zangu so nikaalikwa dinner pamoja nao pale Kempinski ilikua 2006.
 
My best songs za huyu mtu ni
1.Wake up Everybody feat Common and The Roots
2. All of Me
3. Green Lights
na kuna ile kashoot vudeo yake ni Zanzibar nadhani A story kumuhusu mtoto ambaye badae atazamia ndege
 
Mi namuonaga wa kawaida n OVERRATED, but nashangaa anaheshimika sana majuu!

Ni wakawaida ndiyo maana angekuwa wa ajabu watu wasingekuwa wanamkubali na kumpa heshima wampayo. Ila ujiangalie ww inaweza ukawa si wa kawaida maana haiwezekani wengi wamkubali halafu ww tu na wenzako wachache
 
ata mimi namuelewa sana huyu bwana na ngoma kama ALL OF ME na GREEN LIGHT FT ANDRE 3000 ndo anafanya nimuone fundi mkuu!
 
John Legend kuna NGO moja anaifund kijiji kimoja kule Urambo Tabora na mara nyingi huenda huko kwa siri. Ni jamaa mmoja muungawana sana na hana makuu. America hutumika sana kuzungumza na kuwatia moyo wanafunzi mashuleni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom