Na wasabahi wote hapa.
Usaidizi wakuu, kwa yeyote mwenye firmware-upgrade file ya satelite receiver DVB-S2 SPHE 1512 STB.
Nilikuwa nafanya upgrade FTA receiver yangu, kwa bahati mbaya file lililopo lilifutwa na nililokuwa na upgrade liko corrupt.
Asante.
huyu dada kaomba ushauri . basi mshaurini aache kutumia mali isiyokuwa ya kwake na washauriane na aliye nae,. Huo ndo mchango alioutaka tu......
Anaitaji kusaidiwa, kushauriwa :llama: na kuhurumiwa kwa matendo yake mabaya...
Kipindi cha je tutafika kinachorushwa na runinga ya channel Ten,walikuwa na mjadala unaoshabihiiana na huu kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa 2010 na maelekezo kwa waumini.
Kati ya wachangiaji waliokuwepo Studio za Ch. ten wapo waliokuwa na nakala ya barua ya baraza la maaskofu husika na hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.