Huyu mdada kachanganyikiwa...anahitaji msaada

Hakuna cha kumshauri,tayari ni kahaba n a hana sifa,asije kumuua mwenzake kwa magonjwa!!!
 
Teamo huyu je huyu ana sifa za kujiunga katika kile chama chenu cha Infi?
 
e laima uishie kua kicheche manake sasa utahitaji kujua na nyingine zipoje! kwa taarifa yako hata huyo unaesema kua ni mtam angekua ndo alianza af ukaja kukutana na huyo unaedai sio mtam bado nae ungeona anouzuri flan asiokua nao mwenzie.
 
Atuambie tatizo lake. HUfiki kileleni au ni vipi? Humuenjoy kitu gani? eleza tatizo lako lieleweke.
 
We mdada...

Tubu na urudi kwa mpenzi wako. Tayari umejifunza jinsi ya kumegwa , mfundishe akumege vzr. Naamnini jamaa ako ni mzuri, badili tu akili yako then utapata raha.

Ulikosea kuonja ... ona sasa unataka kuchonga mzinga.
 
ni kweli dada umechanganyikiwa na unataka kuhalalisha uzinzi kisa eti una nogewa umeingiliwa na ibilisi nakushauri achana na uzinzi na olewa na usiwaibe waume za marafiki zako .
 
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??

Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive. Ila tatizo linakuja kwenye mambo ya kitandani, before nilikua sijui kama anatatizo lolote kwa sababu yeye ndo man wangu wa kwanza, kweli wahenga wamesema tembea uone. Kuna siku nilicheat na mwanaume mwingine tena ni bwana wa rafiki yangu kwa kweli alinipagawisha sana mpaka leo namthamini sana kuliko boyfriend wangu maana, siku hizi nikiwa nae kwenye kumi na nane zetu simuenjoy kabisa huyu bf wangu.Guys naomba ushauri wenu maana huyu kaka mwingine hawezi kunichukua kimoja coz anamdate my friend though ndo nampenda Sana kuliko wangu.......
Nenda kwa huyo BF wako, na umsimulie haya yote, na wala usiogope kwani kama hukuogopa kufanya, utaogopaje kusema?...! Kuanzia hapo yeye atajua atakusaidia nini, na nature will take place....! Hata ukiachwa ni haki yako, maana kama wewe ulishindwa kuvumilia ukahaba huo, ndio unataka yeye avumilie? Mliungana na kuahidiana kuwa shida zote mtashare pamoja, hii mbona hukumshirikisha? Au sio shida? Au ndio ulidhani utaweza bila yeye? Ulitembea uone mengi, na sasa umeyaone...! Na ukizidi kutembea utayaona zaidi ya hayo, hata ya kote-kote na vuvuzela yatakupata...! Pia utakuja twangwa kwa rungu zilizoongezwa size kwa dawa za kichina, halafu uhalisia utakosa nafasi kwenye mapenzi yako...! Shauri yako...!
 
huyu dada kaomba ushauri . basi mshaurini aache kutumia mali isiyokuwa ya kwake na washauriane na aliye nae,. Huo ndo mchango alioutaka tu......
Anaitaji kusaidiwa, kushauriwa :llama: na kuhurumiwa kwa matendo yake mabaya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom