Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu na mimi nilimuandika spelling tofauti kama jina la kati kwenye kitambulisho changu italeta shida ...

Hivi mtu mwenye four ya 26 alafu ana hisC geogC engC kiswC civD biosF alf math hakufany physics hakufany na kemia ila alijisajiri vipi anaweza kwenda advance?
Na je cheti chake watamuandikia vipi kwa hayo masomo ambayo hakufanya na je hakiwezi kumsumbua wakati wa ku apply ajira badaye
Asante.
Husika na kichwa hapo juu mm ni mwidofo napenda kuuliza vigezo vya mtu kujiunga na Chuo cha wanyamapori ngazi ya degree namanisha ni masomo gani wanaangalia kwa upande wa advance ...Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.