Tatizo la kukonda bila sababu

kwa hiyo lengo lako unataka kunenepa.
ratiba;
asubuhi kabla hujapata kifungua kinywa, hakikisha unakunywa mafuta ya kupikia(alizeti/ufuta) mililitre 50. fanya zoezi hilo kwa muda wa siku 28, alafu utaleta mrejesho hapa.
 
Baada ya mwezi wa kunywa hayo mafuta akiweza kusimamisha mashine hata kwa dakika 1 tu aje nimpe zawadi!
 
Kama kichwa kilivo wakuu nina miaka 21 najikuta nakonda tu bila sababu yeyote tokea mwaka juzi na nikienda kupima nilipima mpaka Full Blood Picture hakuna kitu jamani mwenye kujua shida itakuwa nini

Natanguliza shukurani.
Kapime kisukari... Google dalili za kisukari uone kama zinakuhusu.
 
Kama kichwa kilivo wakuu nina miaka 21 najikuta nakonda tu bila sababu yeyote tokea mwaka juzi na nikienda kupima nilipima mpaka Full Blood Picture hakuna kitu jamani mwenye kujua shida itakuwa nini

Natanguliza shukurani.
Sabb inaeza kuwa moja ya hizi:
1/. Mlo
2/. Mwenza
3/. Mawazo
 
Hakuna kitu kukonda bila sababu!lzm Kuna sababu ndio maana unakonda,cha Msingi hapo ni Metabolism haiko balance na Catabolism whether is due physical or disease process!
Nitajuaje kuwa haiko sawa kuna vipimo vya hivo au
 
Mara ya mwisho umekunywa lini dawa ya minyoo?

Usijekuta tangu upate ile vitamin b na dawa ya minyoo ulipokuwa Cliniki mpaka Leo hujanywa
 
Back
Top Bottom