Tatizo la kukonda bila sababu

Tatizo la kukonda bila sababu

Kama kichwa kilivo wakuu nina miaka 21 najikuta nakonda tu bila sababu yeyote tokea mwaka juzi na nikienda kupima nilipima mpaka Full Blood Picture hakuna kitu jamani mwenye kujua shida itakuwa nini

Natanguliza shukurani.

Acha roho mbaya
 
Nilipokuwa Nina Miaka 21 Kama wewe sikuwa na mwili kabisa

Nilikuwa Nina uzito Kati ya kilo 50 -55 hivi

Hila Sasa Miaka 30s Nina uzito wa kilo 76-79 hivi na sio mnene saaaaan Ila nyama zimekaa kwenye mifupa na mwili naumudu

So mi naona umri pia unachangia

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Urefu wako na kg zako ww sio mwembamba, huwenda psychological effect unayo. Mfano mm nina 5.8ft na 58kg, yan mm apo ni mwembamba kwako kwa kiwango kikubwa tuu na naajiona kawaida na najikubali. Nina 26age. Kwa umri wako wa 21 mm nilikuwa na 49kg na uref wa kama 5.6nikiwa chuo sasa ww una 61 kwa umri uo alaf una complain.
Nina miaka 21 urefu ft 5.4 uzito kilo 61
 
Daah mm nazitaman izo kg zako mdogo wangu mm nina 26yrs na 70 kg tena izi nakomaa sana na diet na mazoez nisipofanya ivi nakuwa na 95 kg dah kweli tupo tofauti.
 
Wakuu mimi sasa nina 30yrs but uzito wangu ni mdogo sana nina 47kg na hauongezeki kabsa nina kama miaka 3 sasa uzito upo constant shida inaweza kuwa nini na nifanye nini uzito uongezeke??
 
Back
Top Bottom