Recent content by yaika

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Ni kiasi gani cha pesa kinaitajika mkuu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Lwandamina ni zaidi ya kocha

    Matokeo ya mpira yana aina tatu,subirini bingwa ni mnyama tu
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hakopeshwi pesa na mwanaume

    Hata wanaume tena ndg hapo ndo balaa me nilimkopesha mjombangu mwaka jana mwezi wa 4,mpaka leo cjapewa hata ten sasa cha ajabu simu yangu hapokei wala sms hajibu,waaminifu wa kulipa madeni hii miaka hawapo kabisa tena ukidai sana anakwambia nenda mahakamani
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari kwa milioni tano

    5million utapata gari usizotaka (vits,stalent,paso au spasho)lakin nyingine nzuri huwezi pata me nina verossa no B,lakini nauza 7mil,iko vizuri sana hata d hazifui dafu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    Ndg zangu inabidi tuwe na heshima yaani una family na mke wako bado unatamani binamu wako,unamvamia bafuni unataka penzi, je unaelewa ni mzima kiasi gani ndo maana ukimwi hautaisha kwa tabia hizi
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Breaking News.........

    Bangi haijawahi kumuacha mtu salama
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Breaking News.........

    Kweli bangi hajawai kumwacha mtu salama
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

    Tatizo hawajatoka nje ya afrika wenzetu hawana mambo ya kuremba
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

    Mbona nzuri wenzetu nje wanapenda uwalisia tena na maganda yaonekane
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

    Wewe unayeongea ulishafika bukoba,acheni kudharau watu msiowajua
  11. Y

    JamiiForums Tanzania NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Majina mengine maingu,nyamkubi,nyambofu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Pole sana muombe mungu akuonyeshe ubavu wako,
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa mliotembelea dunia: Hivi kuna nchi yenye traffic police wengi barabarani kama Tanzania?

    Kweli mkuu trafi 0 C wanakera anaweza kukusimamisha sehemu ambayo haifai kabisa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unapozaa na mume wa mtu, kuwa na adabu

    Dini zinakataa
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Njia nane(8) za kuwa Dikteta

    Mmmmh hatari
Back
Top Bottom