Recent content by yahyakabila

  1. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Jamani baba kantuma form bado? Ronja please
  2. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Sio walimu wote ni watumishi wa uma wengine ni secter binafsi
  3. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu diploma ya ualim

    Wewe muongo bhana diploma ya msing ipo certficate ndi hakuna sasa hivi.
  4. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu diploma ya ualim

    Form six nina four Principal 1 na subsijr 1
  5. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

    Weka bei tuelewe.
  6. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu diploma ya ualim

    Ndugu yangu sisi watoto wa wakulima bhana, utasoma IT, vyeti si vitaozea ndani kaka, sio kusoma tu ilimradi umesoma pia unaangalia gursa ya ajira kk.
  7. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu diploma ya ualim

    Nina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi nikifaulu vizuri naweza kuja kuomba digree ya ualim wa secindary?
  8. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha ualim wa secondary dar es salaam

    Kama ukimaliza diploma ya shule za msingi unaweza kuchukua digree ya kufundusha sekondary?
  9. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha ualim wa secondary dar es salaam

    Nina 3 ya form four na princpl 1 na subsjr1
  10. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha ualim wa secondary dar es salaam

    Ufaulu wangu ni dv3 ya form four na 4.19 with princpl 1 and 1 subsjr
  11. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha ualim wa secondary dar es salaam

    Kwanini kaka? Nielezee kiundani kaka.
  12. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha ualim wa secondary dar es salaam

    Natafuta chuo cha private kinacho fundisha diploma ya secondary, kwahapa dar es salaam.
  13. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Ualim wa secondari ngazi ya diploma

    Msaada kuhusu ordinary diploma ya secondary teaching, ni chuo gani cha private kwa hapa dar es salaam?
  14. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Saafi
  15. yahyakabila

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Hongera sana
Back
Top Bottom