Recent content by yadodo

  1. yadodo

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    Mwendokasi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji121]
  2. yadodo

    JamiiForums Tanzania Watumishi nendeni karibu na ATM, mshahara umetoka

    Tutaisoma namba
  3. yadodo

    JamiiForums Tanzania Nilivyomuelewa Kasim Majaliwa in relation to Walimu wa Arts.

    Kuna shule moja iko BUKOMBE ina walimu 78 wote ni wa art na sayansi wako wa wili tu tena wakujitolea
  4. yadodo

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano mtu aliyepata div 2 kukosa tena Second Selection?

    Ni art ama sayansi?
  5. yadodo

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hata Mimi nmesikia tarehe 14 mwezi huu
  6. yadodo

    JamiiForums Tanzania Je TAMISEMI wamesitisha Uhamisho?

    Hawajasitisha mkuu
  7. yadodo

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa flyover ya TAZARA mbioni kuanza wakati wowote!

    Naona mnaiombea mema Kweli tz, kama kilomita 3 za flyover ya TAZARA ni bilioni 100 jee hapo ni itagharimu shilling ngap?
  8. yadodo

    JamiiForums Tanzania Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

    Huu Uzi wenyewe jipu! Sidhani kama jamaa huwa anafuatiliaga mambo ya nchi hii
  9. yadodo

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Mwanza wanaipima Serikali?

    Mtoa post akili yake fupi na hata IQ yake ni ndogo sana
  10. yadodo

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Hivi nani Alisha sema daktari ndio anayeponesha wagonjwa ? Au ni ufinyu wa kufikiri tu , kifo anayekiratibu ni Mungu daktari anajitahidi tu kama kijaribu kubatilisha ila sio kuponesha kama daktari angekuwa anaponesha watu wote wanaoenda nje kutibiwa wasingekuwa wanakufa! I hate politics in...
  11. yadodo

    JamiiForums Tanzania Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

    Hawa jamaa ni jipu ambalo halina mtumbuaji Mimi natumia AZAM TV tangu mwaka Jana lakini sina hamu nayo natamani sana hata nipate mteja nimuuzie imenichosha sana! Yaani wezi mpaka wanaboa huduma mbovu matangazo yao ni tofauti na huduma vifurushi vingi mno Mara lipia 6000 upate hiki, ongezea tena...
  12. yadodo

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Kwani wewe mtoa post umemchunguza ukaona kwamba hela hiyo ndio ya mkopo? Acha unazi
  13. yadodo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

    Bado siku kadhaa ataenda msoga tena
Back
Top Bottom