Recent content by Yablock

  1. Yablock

    Nafasi kumi za viti vya Wabunge wa kuteuliwa na Rais viwe vya Taasisi au Makundi Maalum

    Kuna mmoja umemsahau mkuu ni Naibu Waziri Wa Madini
  2. Yablock

    Nashauri tupunguze idadi ya wabunge

    Wazo zuri sana mdau, kuwa na wabunge 400 ni matumizi mabaya ya fedha.
  3. Yablock

    Current four star Generals in Tanzania

    Yeah kwa wakati mmoja general ni mmoja ambaye anakuwa ni CDF au mkuu wa majeshi!
  4. Yablock

    Usaliti wenye ulazima

    Pole sana mkuu jiponze.ndio maana ni Jambo jema sana kuoa Bikira mambo kama haya ya maex hakuna!
  5. Yablock

    Hakukuwa na sababu ya Dkt. Tulia kurudia rudia kusema anamwakilisha Spika Ndugai, msiba siyo kikao cha Serikali

    Ni kweli mkuu Tulia kawakilisha bunge sio spika kajichanga!
  6. Yablock

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Haha haha pole Dada yangu hii issue yako ni lazima itakuja kuwa wazi.jihandae kwa hilo.uwezi kufanya huu upuuzi muda wote.ushauri kuwa honest achana na mmoja uwe na amani.ni ushauri tu!
  7. Yablock

    Jaji ashtuka kugundua watoto watatu wa ndoa si wake

    Hili Sasa ni janga la kimataifa!
  8. Yablock

    Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

    Ni kweli kabisa ulichokisema,hongera sana
  9. Yablock

    Simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

    Hivi wewe na mpenzi wako mko serious au mmeshaoana? Kuna haja gani ya kufukua makaburi?
  10. Yablock

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Brother huyo mwanamke achana nae kabisa.focus na mtoto kuhusu school.huyo sio utapata matatizo zaidi ukizidi kumfuata!
  11. Yablock

    Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

    Kama Ujaoa Bikira Hesabu Majanga Tu.Hakuna La Zaidi!!!
  12. Yablock

    Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

    Ni Lazima Tuheshimu Katiba No Matter What Guys...!!!!
  13. Yablock

    Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Kama hawa wawekezaji wameondoka basi ni ishara mbaya kwa uchumi wetu!
  14. Yablock

    Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Brother kuwa muangalifu na taarifa zako.sio kilwa kusini ni kilwa kaskazini!Aligombea kilwa kaskazini
  15. Yablock

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita asimamishwa kazi

    [emoji15][emoji15] Hii issue ya geita ni mbunge Msukuma ndio alianzisha!!!
Back
Top Bottom