Recent content by yaahamad

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nape kuunguruma Igunga leo

    Mleta mada angeandika hivi nape kulia igunga leo. Kwani wanao ungurumaa ni kama akina dk.w.slaa na akina lema
  2. Y

    JamiiForums Tanzania President Jakaya Kikwete Sends a Condolence Message to President Obama

    Amshukuru na dk slaa kwa kuwaamsha baadhii ya watanzania waliokua hawajui wanaibiwa mali zao na mafisadi ccm bila kujua
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mh.Simbachawene bomba la Gas kutoka Mtwara to Dar then ikiwezekana Dar to Mtwara

    Yaanii hii gechi mpaka itawatoa ccm roho baa wewe ngoja waje
  4. Y

    JamiiForums Tanzania ongera lema tumeona ujasili wako bungeni.

    gesi haitoki mtwara sasa tunamwomba mheshimiwa lema aje kugombea ubunge mtwara kiwani amebaki kuapishwa tu kwa hiyo wana arusha tunawaomba mtupatie mheshimiwa lema naamini haitokiiiiiiii lema kanyaga twende ccm hoyeeee
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    Umhuu labda shupavu wa kuvaa hirizi za uchawi mkuu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ana agenda ya siri pori la Ngorongoro!

    Na ndo kawaida yenu magamba kutumia wenzenu kama condom wakimaliza shida zenu tu mnawageuka
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ana agenda ya siri pori la Ngorongoro!

    Amtumwa na sisiemu mbona mnamgeuka jamani ccm timieni akili zaidi ya matope hamna hata haya kagasheki anauwezo gani wa kuhamisha watu kama hamjamtuma akina mwiguru nchemba nyooooo imekula kwenu
  8. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    Alikoswa ada ya kwenda kuchukua digoriiii u.s.a so anasumbuliwa na njaa huyo siyo sera za chama r.i.p katibu wa chaso
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kituo cha afya kata ya Rabuor wilayani Rorya kiko taabani

    osyepuna hayo ndo mliyataka kwani nimekutana na mbunge wenu lameck(ccm) anasema mpaka arudishe pesa yake aliyowahonga wakt wa uchaguzi ndo mpate dawa zaidi ya hapo mta r.i.p CCM OYEEE
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ya Ruto na Odinga Kuwagharimu Mbowe/Dr Slaa/Shibuda

    Mleta uzi huu atakua ni shibuda mwenyewe hapo anapima upepo lakina lazima tukung'oe tu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Lazima niende Nairobi, ya Moshono nitatoe pole nikirudi - Godbless Lema

    Leo ndo nimeamini ccm na wafuwasi wakw ni mabingwa wa uongo ndo maana hata wazee wenye vitu vyenye ncha kali na aliangukiwa kitu kizito wanabambikia watu kesi kumbe wanafundishwa baa?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

    wewe magamba huna jipya unatumika kama condom ccm haina ubavu wa kuichukua arusha
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Hayo maneno asiyaongelee dar tu aje ayaongelee mtwara pale uwanja wa mashujaa aongee hiyo majibu atayapata
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Tahadhali, weka mbali na tembo
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Hata mie naamini kua cjawahi kumwona mwalimu amevaa vazi la kijani hata wakati tunacheza bao pale nyamswa so naamini wavaa kijani wote ni mafisadi papa na ukiona kijana anashabikia CCM UJUE nae ni fisadi au amekata tamaa ya maisha AMEN.
Back
Top Bottom