Recent content by Ya kasumbe

  1. Ya kasumbe

    Naomba ushauri mke wangu ameanza kunidharau

    Ushauri mzuri sana huu
  2. Ya kasumbe

    Looking for an ideal woman for marriage: long-term partner

    Diploma imenikisesha mume daah nimelia sana
  3. Ya kasumbe

    Natafuta mke wakuoa

    2019 ulikuwa na miaka 35, 2024 una miaka 37 hii [emoji848]
  4. Ya kasumbe

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuanzia miezi mitatu hadi minne.. lakini hawatabiriki
  5. Ya kasumbe

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera mkuu nami hatimaye wamenikumbuka ktk pdf ya jioni hii. Daaaah msoto ulikuwa mkali sanaa
  6. Ya kasumbe

    Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Hongera sana,, hakika unafanya kazi nzuri binafsi umenisaidia mno
  7. Ya kasumbe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hello
  8. Ya kasumbe

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Huwa nashangaa watu wengine wanaweza vipi kutembea barabarani/njiani wakiwa wanapiga mziki kwenye simu zao tena Kwa sauti kubwa mi siwezi Mtu yupo ndani ya gari la abiria anapiga mziki kwenye simu yake tena Kwa sauti kubwa au akipigiwa simu anaweka loudspeaker anaongea jamani[emoji849].
  9. Ya kasumbe

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:31
  10. Ya kasumbe

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    @𝐰𝐚𝐥𝐤𝐞𝐫 𝐖𝐚𝐭𝐞𝐫 𝐤𝐮𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐢𝐩𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐬𝐚𝐠𝐮𝐥𝐚 𝐬𝐚𝐠𝐮𝐥𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐨 𝐳𝐚 𝐦𝐭𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐢. 𝐌𝐬𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢
  11. Ya kasumbe

    Natafuta mke

    Fungua PM yako kaka
  12. Ya kasumbe

    Natafuta mke

    Bro dunia ngumu sana hii[emoji2]
Back
Top Bottom