Hata Aborder nayo ni nzuri sana. Nilichukua kwa 70kHELP; ni jiko gani la gesi lililo zuri zaidi ? imara na linalotumia gesi kidogo ?
Thanks.
La plate mbili au 4/6HELP; ni jiko gani la gesi lililo zuri zaidi ? imara na linalotumia gesi kidogo ?
Thanks.
Bruhm hapanaLa plate mbili au 4/6
Westpoint..
Bruhm…
Hivi ni vitu vya electronic vinasaidia sana kwa watu ambao hawajui.Mkuu hadi manunuzi ya jiko la gesi unakuja kutafuta ushauri?
it is a gas burner not electronic device, sema ni samani tu za nyumbaniHivi ni vitu vya electronic vinasaidia sana kwa watu ambao hawajui.
Amini hivyo
Hapo mzee ongezea na Pressure cooker ya umeme (6.8L ni 130k)plate 2 mkuu linanitosha
Hivi mtu akiuliza wewe mkuu unaumia wapi, kuna watu wengi sana walikua na swali hilo wanakuja wana angalia majibu kimya kimya wanaondoka, tulieni basi wajuaji.Mkuu hadi manunuzi ya jiko la gesi unakuja kutafuta ushauri?
nakazia hapa.Hapo mzee ongezea na Pressure cooker ya umeme.
Unaweka zako maharagwe, nyama n.k na unaweza kuhamishia kwenye gesi ukaunga.