Recent content by Y2z

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Uliza changamoto Kwanza ukisha zijua fuatilia mavuno, jamaa alikwambia kapiga 22m kwa ekari utakurupuka hata kwa kukopa halafu unakutana na kantangaze anakupa uja wepesi na unazaa sifuri ogopa sana, nakushauri uzijue changamoto kabla ya kujua mavuno.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Ungemwambia mh. mungu Magufuli hayo unayoyasema sasa hivi yanayotokea yasingewakuta, mlichekelea mkafurahii, ukipanda mang'ong'osa ndiyo utakayovuna.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Basi gani linafika mapema kwa safari ya Dar es Salaam - Mwanza

    Ongea vizuri na Bibi yako unaweza fika mapema kabla ya space X ya Elon Musk
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Hawa wanao tahiriwa sasa hivi kwa msaada wa USA?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Nakumbuka kuna kijana alipiga picha choo cha zahanati fulani huko Kongwa kilichokuwa na hali mbaya kiasi kwamba hata mende waliishi humo kwa machale na hata kama umebanwa kiasi gani ukiambiwa jisaidie humo haja inayeyuka. Lakini kilikuwa kinatumiwa na wagonjwa wa zahanati husika yaliyomkuta...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

    Kati ya watu wapumbavu duniani huyu yumo kwenye topten
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

    Mfuasi wa shetani jiwe ktk ubora wako.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mademu walio mbali na wenzi wao huchepuka maofisini?

    Mimi ni mtumishi nipo halmashauri ni ukweli usiopingika kwamba ndoa ambazo zipo geographically separated zina hali mbaya Sana kiuhalisia si wanaume si wanawake ni mwendo wa kupakuwa na kupakuliwa, yupo jamaa yangu amewapakuwa karibu 11 humu ofisini na Kati yao 5 ni wake za walio mbali. Kama mtu...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Limtafute hata huko kuzimu likam'bamize
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

    Kuna timu inajitahidi Sana kutuaminisha kwamba lile shetani linaloungua huko motoni jehanam lilikuwa malaika, nadha haya ni yale mamisukule yaliyoporwa ubongo yakaachiwa matikiti.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

    Wewe mjinga Baba ako shenzi kabisa wewe
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

    Kwakweli JPM alijitahidi Sana kutengeneza mabumunda na zero brains za kutosha including mleta mada, kwamba wakati wa jpm umeme haukukatika! Jitu linabwatuka kwamba umeme ulikuwa haukatiki kisa biti za mwenda zake as if unaowaambia huu utopolo hawakuwepo tz! Shindwa na ulegee kama huyu jamaa...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Mama Samia Suluhu Hassan itakuwa kama ya Mzee Ruksa

    Kwa hiyo ili pesa iingie kwenye mzunguko hadi ufisadi uwepo? pumbavu kama hili Bora dingi yake angeota ndoto ya unyevu akalibamiza kwenye taulo
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Shocking revelation: wateja wakubwa wa sex toys ni wababa

    Sasa wenzio wakimaliza kukata gogo wanaishia kupiga msele na matako kwenye mwamba, kokoto, Moram, barabara ya vumbi etc
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

    Huo ndo umri wa kupiga show za kibabe za kula bata
Back
Top Bottom