Shocking revelation: wateja wakubwa wa sex toys ni wababa

Ningependa siku moja nikutane na mdada anayetumia dildo nimuulize maswali kadhaa
Nishawahi kukutana na dada mmoja wa Dar Kampala akizinunua kwa special order na baada ya kukaa nae karibu na kumpeleka sehemu mbali mbali za jiji la Kampala niligundua ni msomi wa chuo kikuu. Kutokana na namna nilivyoshughulika kumtembeza na kumbebea mizigo yake kama tulivyo Watanzania na tabia zangu za kisukuma nilijua tu nitapewa K kwa vile tulichukua apartment moja!! Kinyume na matarajio yangu hiyo nafasi ikachukuliwa na dildo usiku kucha.
 
Wanaume wa mikoani tunahitaji ulinzi mkali kutoka ktk taasisi kama TISS maana ndio marijali pekee tuliobaki hapa nchini!
 
mshana jr sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu

Bro ukaona comment yako uiandikie uzi kabisa...

Muda si mrefu haya yatatimia.
 
Hapa nimeelewa kitu hatari sana, kuna chimbo moja online la mabint warembo kwa ajili ya escort kumbe zile dildo wanazosema wanazo ni kwa ajili kutindua njemba!!!o_Oo_O
 
Back
Top Bottom