Alichosema mtoa mada Kuna ukweli Kuna baa moja Moshi mjini Iko karibu na stendi (jina kampuni), wahudumu wanakupokea kwa bashasha, ila ukiagiza soda ni kama mzuka unawaishia wanachelewa kukuhudumia na ukimaliza tu chap washafuta na meza na kutoa chupa ni kama wanakudharau 😂 ila wanywaji...
Anashabikia watu ambao hawataki kuitwa waafrika, pili mpira wao ilikuwa wa janja janja Sana tulikuwa kama tunawaabudu na la mwisho kiwango Cha waarabu ni Cha kawaida, wametuzidi kwa baadhi ya mchezaji mmoja mmoja
Nimefanya Kazi yangu ya kwanza na kampuni kutoka nje kipindi Cha COVID-19, Supervisor alikuwa mu Israel mambo yalikuwa powa Sana, akaja mwingine kutoka Sweden alikuwa anabana Sana pesa Sasa hivi kahamishiwa Nairobi, tuliyenaye sa hivi anatoka Spain Hana tofauti na yule wa Israel...
😂 Kuna jamaa angu mwingine alikuwa dereva wa TCC huko aliteseka, gambe bei Gali, uzuri alikuwa anabeba nyagi kwenye gari...tukiingia sehemu za starehe ni kulamba lamba tu bia kidogo..then tunaenda kujibust kwenye gari lake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.