Recent content by XYZ987

  1. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Movie/series ipi ni addictive ?

    Movies Beekeeper Bourne Ultimatum Ava Naked Weapon Salt Argo The Suspect Steel Rain Man from Nowhere Series Breaking Bad Ozarks Lioness The Black List How to get away with muder Power Bell Air Vampire Diaries Originals Agent Kim Reactivated Squid Games Orange is the new Black
  2. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN mzee wa Arsenali umetutupa, kukicha kuchungulia shingo zitakatika, fanya mambo na roho zetu zitapona... Please
  3. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Devil’s family(familia ya mashetani) 01

    shukran mkuu
  4. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Nimepandisha picha karibu
  5. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Tayari
  6. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Tayari nimepandisha picha karibuni
  7. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Tunasafirisha na cooler boxes special au ndoo..Ina kaprocess kuandaa maana unawawekea barafu na oxygen
  8. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Yapo Mlandiizi kijijini
  9. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Yes inawezekana. Ukiwa tayari karibu kwa maelekezo na ushauri mkuu
  10. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Hapana mkuu,sato na kambale tu
  11. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Niko Kibaha,kwenye pipa inawezekana ila itabidi uwatafute wataalamu. Mimi nafugia manwawani
  12. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Picha napandisha muda sio mrefu mkuu,karibu sana
  13. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Nawasalimu wote, Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu.. Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua.. Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote. Karibu inbox tuyajenge... Asante
  14. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Devil’s family(familia ya mashetani) 01

    Asante sana, nyingine lini Indigo28
  15. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Devil’s family(familia ya mashetani) 01

    Indigo
Back
Top Bottom