Recent content by Xystus

  1. Xystus

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Nichapishe maudhui yangu sasa
  2. Xystus

    JamiiForums Tanzania CCM ina watu Vichwa sana

    Hamna mtu anayetokea manyoni, akawa na akili
  3. Xystus

    JamiiForums Tanzania Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Huko OSHA walimtumbua
  4. Xystus

    JamiiForums Tanzania Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Saivi anasumbuana na Wanafunzi Chuo cha Mt Joseph campus ya BoKo kama Assistant Dean of students
  5. Xystus

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    A. Holderness & J. Lambert - A New Certificate Chemistry 4Ed
  6. Xystus

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Kila jimbo lina mamlaka kamili chini ya Askofu wake. Kwa hiyo Mwadhama Rugambwa hana mamlaka yoyote nje ya jimbo lake. Hadhi yake ya ukadinali ni kwenye kumchagua papa ama yeye kuchaguliwa, hamna cha ziada. Papa atashauriwa na makadinali na maaskofu wa "Curia".
  7. Xystus

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Kwamba dada yako kuolewa na mKKKT ndo ww ukafukuzwa seminari [emoji28][emoji28]. . . Vijana wamekuwa waongo sana.
  8. Xystus

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Naelewa John
  9. Xystus

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa Internship ya World Vision

    Utupe mrejesho ndugu,
  10. Xystus

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Amshauri tuu sisi hatuna shida. Yeye sio Askofu mkuu wa Tanzania [emoji23] . . Papa mwenyewe haeleweki
  11. Xystus

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Umeeleza vyema . Tabora penyewe madaraka anayo robo tuu, anapokea maelekezo kutoka kwa Askofu Mkuu Paul R. Ruzoka.
  12. Xystus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mbuyuni,
  13. Xystus

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa Internship ya World Vision

    Kama umepelekwa na TAeSa, bado wanakulipa posho
  14. Xystus

    JamiiForums Tanzania Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Sirikaali inashindwa nini kupanga mji hivi. . N. B: Hapo palipangwa enzi za mkoloni
  15. Xystus

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha yangu ya karne

    Tuwakatae CCM kwa nguvu zetu zote
Back
Top Bottom