Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 842
- 1,031
Asante sanaShuka Science ya Kijitonyama, ingia njia ya kwenda rose garden, tafuta mtaa wa Ndovu, nyumba namba 8
Asante sanaShuka Science ya Kijitonyama, ingia njia ya kwenda rose garden, tafuta mtaa wa Ndovu, nyumba namba 8
Kama umepelekwa na TAeSa, bado wanakulipa poshoPosho Kama zote, mshahara wa intern 400k hivi
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Nadhan ndio maan mm ndio nataka kwenda hukoKama umepelekwa na TAeSa, bado wanakulipa posho
Utupe mrejesho ndugu,Nadhan ndio maan mm ndio nataka kwenda huko
SawqUtupe mrejesho ndugu,
Wapo kasulu,kibondo,kakonkoKigoma kama wapo NIAMBIEN
Bro futa hii kabsaa, nipo intern hapa toma oct 10 hawalipi hata mia.Kama umepelekwa na TAeSa, bado wanakulipa posho
Ni Christian total, ila kwa nafasi ndogo waislam wapo kama mm japo ni internJamani kwa hiyo world vision wao Wana base na dhehebu gani la kikristo?. Naomba kwa yeyote anaye fahamu.
Taesa ndo hawakulipi au unaowafanyia intern ?Bro futa hii kabsaa, nipo intern hapa toma oct 10 hawalipi hata mia.
Ninaowafanyia internTaesa ndo hawakulipi au unaowafanyia intern ?
Ninaowafanyia intern
Yah ndo ipo hvyoUbaya mkataba umesaini na Taesa hujasaini na WVT.