"HAUWEZI" kabisa katakua kameungua ila nilikua na zungumzia mfuko wake kama mdogo awe mpole.
Halafu kuna mambo mengine tujuilize kuna mdau hapo juu amelitafuta duka la hizo pikipiki hata hajui lilipo na haijulikani kama kweli lipo vipi vifaa vyake atavipata kweli?
Hapo ndio utajua uli usemi...
Nimeangalia kawasaki na yamaha ulizo weka duh!
Kweli kama ana hela hizo ndio pikipiki [emoji38][emoji38][emoji38] kama hana hela haojue is better than [emoji38][emoji38][emoji38] atakua ameelewa tu ili hiyo kawasaki dah!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Boxer 150 na tvs 150?
Chukua boxer 150
Ilabkama ni boxer 150 na tvs 125
Chukua tvs 125
Ila kama unakaa nje ya mji na unabeba mizigo chukua haojue (sio mayai) au sanlg
Kama UKO MJINI UNAJUA KUTUNZA KITU KAMA YAI chukua boxer
Kaha hauhitaji ghalama kwenye utunzaji chukua haojue au sanlg
* kama...
Kilakitu liko vizuri sana ni gari la kazi ila ndugu naskia ukiliona linakuja lipishe usijekua wewe ndio breki hapo kwenye breki utakua umeelewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Loli ni gari kuubwa mf lakubebea mchanga aumizigo ya aina yoyote au hata wanyama kama ng'ombe nk. Vipi kama hujaelewa niendelee na mifano
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo pikipiki nzuri zaidi kwa kubebea mizigo shamba ila kwakua umeniuliza kati ya baja na hiyo yamaha ningekua mimi ningechukua YAMAHA hiyo baja kubebamizigo sizani ila hiyo yamaha angalia tu kitichake cha mizigo utakielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kiukweli napenda sauti za yamaha inakua kama ina taka kuzimika kama inakwama kwama narudia tena NAPENDA SAUTI ZA YAMAHA (pikipiki) na kwenye hii pikipiki kingine napenda inavyo nesanesa kwenye njia yenye mashimomashimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hili dude tulikua nalo la yamaha unapanda hatakwenye mawe au matofari na bado lina nesa tuu halafu la yamaha lina sauti nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.