Recent content by xray

  1. xray

    JamiiForums Tanzania Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

    Hizi tetesi kuwa mwaka huu hiyo 15% itakatwa kwenye gross na sio basic salary ni za kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. xray

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

    Ni wewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. xray

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya uongo na dharau za Lissu ni kubeza tafiti za Maprofesa kuhusu makinikia

    Ni professorial rubbish kwasababu walipiga mahesabu ya elements zote zilizokuwapo kwenye sampuli ile badala ya kuangalia economical valued elements tu ambazo unaweza kuziprocess kwa faida. So Prof. Mruma alitupa mrejesho wa composition ya mwamba (Concentrate) tu. Na pia kiwango tulichosema...
  4. xray

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Kilichotokea katika mahojiano yale ni; mwandishi wa BBC kuhoji doubts zote zilizopo na zinazo ongelewa na Chama tawala na Tundu Lissu akazijibu. Ilikuwa kama jukwaa la mpambano kati ya washindani wawili, mmoja akiigiza nafasi ya mtawala na mwingine akiwa upande wa upinzani. Nafikiri tunahitaji...
  5. xray

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Habari za Dodoma?
  6. xray

    JamiiForums Tanzania Tumsamehe Baba yetu Jakaya Kikwete kwa kuwalea vibaya wasanii ndani ya CCM

    Anadai fedha (mafao na stahiki) ambayo mume wake aliifanyia kazi CCM na hakulipwa mpaka mauti yanamkuta. Wasanii nao wanadai stahiki zao kwa kazi waliyo fanya ya kusherehesha na kutumbuiza wakati wa kampeni.
  7. xray

    JamiiForums Tanzania Tumsamehe Baba yetu Jakaya Kikwete kwa kuwalea vibaya wasanii ndani ya CCM

    Mjane wa Komba nae anadai mil. 75. Shigongo vipi alilipwa?
  8. xray

    JamiiForums Tanzania Kati ya tuhuma ya vyeti feki na ya kuuza madawa ya kulevya, ipi inaangamiza nguvu kazi ya taifa?

    Vyeti feki sio issue serious??? Hii issue sidhani kama inahusika na chama chochote cha siasa na ndio maana serikali ya awamu ya 5 iliamua kufanya uhakiki wa vyeti vya watumishi. Bila akili na elimu taifa litakuwa na watendaji wa kukurupuka na kuropoka.
  9. xray

    JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Mkuu, nilianza na busara mwanzoni ila hasira zikanipata mwishoni. Hali ni mbaya jamani mitaani, halafu kutwa serikali ina deal na vitu visivyo kuwa na tija kwa taifa. Kuna uwezekano wahitimu wa vyuo wakifika umri wa miaka 30 na wengine 35 bila kupata ajira serikalini na mbaya zaidi awamu hii ina...
  10. xray

    JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Kuna haja ya washauri wa mkuu kutafuta njia mbadala ya kumshauri mkuu kama huwa hasikilizi ushauri ulio bora. Boss yoyote jeuri na mwenye kiburi huwa ana udhaifu wake ambao waandamizi wake wanaweza kutumia ili kumtrick na akubaliane na ushauri mzuri na wenye tija kwa taifa. Nafikiri mpaka sasa...
  11. xray

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Ridhiwani amehusishwa, basi vita ya Madawa imefika mwisho

    Jambo lipi?
  12. xray

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Sarcasm at its best level, I like this. Mbumbumbu kamwe hawataelewa.
  13. xray

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Sarcasm at best level. I like this. Mbumbumbu kamwe hawataelewa.
  14. xray

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Dah, ungejua hawakufarahii hata kidogo huko ulikoenda unabana nafasi za uteule kwa makada wa muda mrefu. #njaaaaaaaaaa
  15. xray

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongea na RC Makonda LIVE kwa simu akiwa mkutanoni Mbezi, Dar

    Hata Dodoma bado nina mashaka. Asubirie kuteuliwa tu. Kwao tu kanda ya ziwa hawezi kushinda ndio iwe Dodoma.
Back
Top Bottom