Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Hivi karibuni baada ya vigogo au mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa hadharani, kumezuka tabia ya watuhumiwa hawa kujibanza nyuma ya vyeti feki vya yule aliyewataja!
Tuacheni utani ,kuna mambo serious tunayapeleka kiushabiki wa vyama .
Madawa ya kulevya yameangamiza nguvu kazi ya taifa, maelfu ya vijana wamegeuka watu wa kutoa udenda siku na mazezeta ambao ni useless in the Society.
Mtuhumiwa wa kuuza madawa ya kulevya hawezi kujibanza nyuma ya vyeti feki.
Ishu ya madawa ya kulevya ni serious kiasi kwamba kuna baadhi ya nchi wananyongwa hadharani.
Je ni nchi gani inanyonga hadharani watuhumiwa wa vyeti feki??
Vyeti feki vimegeuza mazezeta na watoa udenda siku nzima pale kinondoni wangapi??
Chadema acheni kutetea wauza madawa ya kulevya kwa kisingizio cha vyeti feki.