Tanzania hii hakuna Mwenye ujasiri Wa kutenda haki, na ndo maana hata bwana mkubwa aliyesababisha watoto wakafukuzwa UDOM kama wezi, alipoona na jina LA mwanae limewekwa hadharani! Aliamua kukaa kimya moja kwa moja
Sasa mkuki umegusa mfupa, na ili wewe mtanzania unayejitia uzumbukuku, huelewi, ili ujue kwamba hii serikali in dhalimu, vita ya madawa ya kulevya inazikwa jumla.
Hutaisikia kusini wala kaskazini, kwakua wameguswa "wanadamu"
Sasa kitatafutwa kitu kingine cha kumeza madawa, watch and see.