Jamaa anachosema ni kweli.. Kiukwel katika hiphop sana sana rap kwa fid mi naeka kando.. Sawa jamaana ana flow ana mpangilio ila ile art of HIPHOP yenyewe ni ndogo sana.. Mtu haezi copy mistari mingi kwa mwingine tukamuita hiphop artist kucopy kupo ila si design ya jamaa.. Mcheki mtu kama MBWAA...
Kwasababu ya ukoloni mamboleo utaniona nimechizi. ila jua watembeao na nguo pia wanakuona wewe umechizi kwakuto upa mwili nafasi ya kupumua..
Jaribu kujitetea kwa mwonekano wa kihalisia bila kutumia propaganda za waliokuvika nguo...
io tunaita pre jurice isiyo kua na maana... kwaio unamaanisha hao sio binaadamu? wewe ndio umekamilika ama.. kuto kuvaa nguo ni hali halisi ya maisha yao kama wa-africa halisi... na kuvuta bangi kwao ni kama ni kwa ajili ya kukusanyika pamoja kama wanafamilia na kupeana taarifa na hata kwa...
io tunaita pre jurice isiyo kua na maana... kwaio unamaanisha hao sio binaadamu au.. kuto kuvaanguo ni hali halisi ya maisha yao kama mwa-africa halisi... usijiisi uko vizuri pia kwakua wewe pia unaweza jifunza kutoka kwao..
"nipe tafsiri halisi ya akili timamu"
International tourist arrivals grew by 5% during the first half of 2013 compared to the same period of 2012, reaching almost 500 million, according to data just released by UNWTO. it was expected that it would move to 3%-4% at this year. due to this the industry has shown positive reactions...
mim naona wengi wana crash hii mada na hii ni kwasababu ya ukoloni mambo leo, kama bangi inge halalishwa sidhani kama soko la sigara linge kua sasa ili wa linde maslahi yao binafsi wameona ni heri walete propaganda juu ya bangi ili wasizidiwe soko. kama ni kuchizika nahisi jamii ya WAHADZABE...
If now we have 70000 elephants, hw many will we hav after 5 years if each year 10000 elephants are killed..?? I guess our kids will often be vistng disney world for elephants if actions wont take part:rolleyes::rolleyes::mad:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.