Recent content by Xoyangdaxo

  1. X

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Wht is FB, Twt,an Instgarm?Africans pipo we need development not moral distraction
  2. X

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Completely unfair!!! Why did ikulu they dd not respond quicky like this during the doctors strick!! There are something behind the caten!!! shame on them!!!!
  3. X

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Soma mwanahalisi ya leo,utaona mshahara wa waziri mkuu wa kenya,je sisi wabongo tunaujua wa mtoto wa mkulima?
  4. X

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Atawajibu mkamulize Ridiwani msimamizi wa makampuni yake,huyo at ajui mshara,safari za nje zinamtosha kwake. Ze ziro brain!!!!!!
  5. X

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Kuna nukuu ya Mwalimu Nyerere inayosema kuwa Lowassa hafai ata kuwa kiongozi wa mifugo! Labda anakubalika kwako na familia yako awe kiongozi wa bata!
  6. X

    Nukuu za JK

    Duh! jk kamzidi mfale Juha!
  7. X

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ata EL ajipange miaka 30 hawezi kuongoza hi nchi,Mwalimu Nyerere alishawahi kunena kuwa Lowassa hafai ata kuwa kiongozi wa mifigo.
  8. X

    Raisi KIKWETE Ahojiwa BBC Leo; asema Tatizo la Mgawo ni UKAME

    Huwa hatumii ubongo wake kujaji mambo,anatumia makamasi!! Avoid simple answers for difficult questions
  9. X

    mambo ya OBAMA

    Duh!body language ya JK inaonyesha wazi ngeli shida tupu,Obama anasubiri neno moja moja mdomoni mwake,hajui kuwa wenzake wanaenda kwa muda.kama vipi aende english coz mwenge
  10. X

    CCM Yajenga Nchi!

    walikuwa wanaimba kinyume chake
  11. X

    Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

    kama kawaida yao,wanaibuka siku mambo yakionekanika ovyo,mlikuwa wapi siku zote
  12. X

    Makerere ndio the best university in East Africa.

    sometimes tuache ubishi,ni kweli UDSM in ya 34 na Makerere ya 10.
Back
Top Bottom