Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

Sasa unataka ili nini wewe mshahara wako mbona mkeo haujui hebu tokeni hapa ....................badala ya kuzungumzia jinsi gani utajiendeleza uinue kipato unataka uujue ili ? hivi CDM kwanini katibu mkuu mwingine hata pewa mshahara na marupurupu mengine kama slaaaaaa?????
<br />
<br />
Shehe yahya mwingine ndo unajitokeza mdogomdogo hapa unatabiri kuna ashawahi kutokea hajalipwa ndo ulalamike au gamba na wewd halikuvuki kiunoni?
 
Heshima kwenu wakuu, gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 17 ukurasa wa 19 lina makala isemayo "Raila Odinga amzidi David Cameron kwa mshahara.
Ukisoma hiyo makala utaweza ona jinsi Nchi nyingine zinavyokuwj wazi hasa mapato ya viongozi wao kulinganisha na hapa kwetu ambapo mshahara na vyanzo vya mapato vya viongozi wetu vimekuwa ni siri.

Swali: Kenya wameweza kuweka wazi mishahara ya viongozi wao, sisi nini kinatushinda?

Naomba Chadema kama watachukua Nchi mwaka 2015 waweke wazi mishahara ya mawaziri,wabunge na wa raisi pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya raisi.

Hii hapa ni orodha ya viongozi wanaolipwa mishahara mikubwa hapa duniani:

1. Lee Hsien Loong, waziri mkuu wa singapore dola 2,856,930 kwa mwaka.
2. Donald Tsang dola 513,245 kwa mwaka,mtawala mkuu wa Hong Kong.
3. Raila Oding dola 427,886. Kwa mwaka
4. Barack Obama dola 400,000 kwa mwaka.
5. Nicolas Sarkozy dola 345,423.

Mshahara wa Jk ukiwekwa hapo si ajabu atashika nafasi ya pili au tatu na kwa katiba yetu kuwa raisi ndo mwajiri mkuu sitoshangaa hata kama akishika nafasi ya kwanza.
kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?
I doubt ni hii asking yenu. Nitahoji baada ya JK kutoka madarakani.
 
Hata wa wabunge na marupurupu yao si siri! Unakumbuka Dk Slaa na ile kampeni yake na jinsi walivyojaribu kumnyamazisha? Yani hapa tunaibiana tu! Slaa aliweka mshahara wake live, TRA hao...hahahaha! Sasa Chama kimepigwa fine ya mil 100! Hii nchi haipo huru hata kidogo...
 
kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?
I doubt ni hii asking yenu. Nitahoji baada ya JK kutoka madarakani.

Kwani wametaja majina ya maraisi?au yaviongozi kwa majina yao ubaya huko wapi kwa kutaja jina la JK
 
Heshima kwenu wakuu, gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 17 ukurasa wa 19 lina makala isemayo "Raila Odinga amzidi David Cameron kwa mshahara.
Ukisoma hiyo makala utaweza ona jinsi Nchi nyingine zinavyokuwj wazi hasa mapato ya viongozi wao kulinganisha na hapa kwetu ambapo mshahara na vyanzo vya mapato vya viongozi wetu vimekuwa ni siri.

Swali: Kenya wameweza kuweka wazi mishahara ya viongozi wao, sisi nini kinatushinda?

Naomba Chadema kama watachukua Nchi mwaka 2015 waweke wazi mishahara ya mawaziri,wabunge na wa raisi pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya raisi.

Hii hapa ni orodha ya viongozi wanaolipwa mishahara mikubwa hapa duniani:

1. Lee Hsien Loong, waziri mkuu wa singapore dola 2,856,930 kwa mwaka.
2. Donald Tsang dola 513,245 kwa mwaka,mtawala mkuu wa Hong Kong.
3. Raila Oding dola 427,886. Kwa mwaka
4. Barack Obama dola 400,000 kwa mwaka.
5. Nicolas Sarkozy dola 345,423.

Mshahara wa Jk ukiwekwa hapo si ajabu atashika nafasi ya pili au tatu na kwa katiba yetu kuwa raisi ndo mwajiri mkuu sitoshangaa hata kama akishika nafasi ya kwanza.
Mshahara unaweza usitishe lakini marupurupu weeeeeeeee na anavyopenda kusafiri unaweza kuziia ukiona hiyo figure kwa mwaka...
 
Mishahara ya viongozi wakubwa wote ni siri,sababu za kiintelijensia.Mapato ya Rais kwa mwaka ni makubwa mno.........labda katiba mpya ikipatikana itatusaidia kufumbua hilo fumbo.
 
Hey Nyie waTz bana,yaani mnataka kujua salary ya Rais wenu.....dah,shauri yenu na hali ya sasa ya maisha ilivyo ngumu ivi ,watch out maana when you will here the figure itself,msije kuja kuzirai bure!
Heri mimi sijasema.
 
Atawajibu mkamulize Ridiwani msimamizi wa makampuni yake,huyo at ajui mshara,safari za nje zinamtosha kwake.
Ze ziro brain!!!!!!
 
Soma mwanahalisi ya leo,utaona mshahara wa waziri mkuu wa kenya,je sisi wabongo tunaujua wa mtoto wa mkulima?
 
Nasikia kuanzia enzi za Mkapa mshahara na marupurupu ya rais vimefanywa kuwa siri ya serikali. Sina hakika lakini nimelisikia hilo, kwa sababu kwa serikali yeyote ya kidemocrasia mshahara wa rais si siri. Wakenya wanajua Mwai Kibaki analipwa kiasi gani.

Nafikiri ni makosa kuficha mshahara wa rais na marupurupu yake yote sababu sisi ndiyo waajiri wake nasisi ndiyo tunamlipa kwa kulipa kodi, tunahitaji kudai hilo nguvu zetu zote
 
Jambo la kushangaza, mshahara wa rais wa USA, nchi yenye uwezo mkubwa kiuchumi uko chini ya waziri mkuu wa Kenya, nchi ya Afrika, Mmh!!! Vipi raisi wake Kibaki, anapokea ngapi?
 
kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?
I doubt ni hii asking yenu. Nitahoji baada ya JK kutoka madarakani.
Mshahara wa Julius ulikuwa unajulikana wewe wa lini? na hata mwinyi alipoingia tu aliuona ni mdogo mno akajiongezea asilimia kiduchu ikatangazwa Radio Tanzania sijui baadae ndio ukimya ulipoanzia kwa Mkapa mmh! sikumbuki nilikuwa busy na masomo.

''Usiulize Swali Jipya'' kanuni za Bunge..

Msije mkaanza kuuliza na Mshahara Wa Raisi Wa Pemba...
 
Kwani wabunge si wapo kwanini wasiulize tu? au chombo cha habari kikamuandikia Katibu Mkuu Kiongozi kwa jibu. Siyo siri.
 
Mshahara wa Rais wako unataka kuujua ili iweje? Hilo siyo suala la kutangazatangaza ovyo tu kwasababu linaweza kuharibu usalama wa taifa. Lazima tuwe na heshima kidogo kwa mambo ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom