Habari wakuu,
Mi ni mgeni kidogo kwenye configurations za Sophos routers, my ISP provided me with an IP, netmask, gateway, dns, and VPN ID kupata internet. Challenge ni kwamba nawezaje ku apply VPN given by ISP ili LAN yangu iweze negotiate na WAN ?.
Nisaidieni wakuu.
Nimefanikiwa kui set as a...