Recent content by Xiang Hao

  1. Xiang Hao

    Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    mkipata wasaa nipeni usharuri yangu hii hapa www.zotekaliblog.co.tz
  2. Xiang Hao

    Msaada wa kuverify google admob akaunti

    habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
  3. Xiang Hao

    Wapiganaji wa Islamic state walipua kanisa nchini congo na kuua 20

    Shehe vipi kama nitakuwekea na video za hao jamaa
  4. Xiang Hao

    Wapiganaji wa Islamic state walipua kanisa nchini congo na kuua 20

    Makumi ya Wakristo waliuawa na kujeruhiwa katika shambulio la wapiganaji wa Islamic State ndani ya kanisa moja mashariki mwa Kongo. Kongo - Kivu Kaskazini - Shirika la Amaq: juzi, mlipuko mkali ulipiga kanisa la Kikristo katika eneo la "Beni" katika jimbo la "Kivu Kaskazini", mashariki mwa...
  5. Xiang Hao

    Samsung a12 inakataa ku hard reset

    Shukran je maana yake hapa haiwezekani tena
  6. Xiang Hao

    Samsung a12 inakataa ku hard reset

    Ndo unatumiaje hiyo account recover
  7. Xiang Hao

    Samsung a12 inakataa ku hard reset

    Kama kichwa cha chapisho kinavyojieleza nina samsung a12 nimevuruga patten nahitaji kui hardreset but inakataa kila nikijaribu naombeni msaada hata wa program kama ipo
  8. Xiang Hao

    Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

    Kama kuna ukweli katika mada hii
  9. Xiang Hao

    Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  10. Xiang Hao

    Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    ufafanuzi wako huu unapingana na kitabu cha kiislamu kinaitwa siyaru alami annubala
  11. Xiang Hao

    Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    ukipata wakati soma kuhusu kisa cha israa na miraj utafahamu kuwa swala za mwanzo sio mbili zilianza 50+
  12. Xiang Hao

    Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    simulizi yako haifanani na vitabu vya waislamu wenyewe, ukipata muda anza na huraswa nurul yaqin
Back
Top Bottom