Nimemwazima mtu pc yangu, sijui kafanyaje but screen imeharibika, nahitaji kuifix nahitaji kupata screen mpya ni hp 250 g4.. kwa fundi anaeweza fix anicheki 0755967517..iko as kwenye video ninayoatach hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
kufatia tangazo la bodi ya vyuo vikuu kuhusu admission 2017/18 sasa kidogo mmetufungua macho..lakini tatizo ambalo hamjaongelea kabxa ni bei ya form za application kutoka higher learning institutions kuna baadhi ya vyuo form ni mpaka 50,000 lower price nmeona 20,000 malofa tutaweza apply chuo...
aloo tuwekee bax link apa tuinywe.. coz hawa wazungu bhana naona wanaendelea tuu kudominate.. inabidi nasisi tusaidiane kwenye mambo madogo kama haya..
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
aloo me natafuta activator ya windows 10 kwenye torrents mwenywe link uhakika atuwekee please.. ahsante
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
anaeuza used monitor ya desktop lower resolution.. plz niwekee namba hapa.. au kama unajua mtu anaeuza iyo used electronics mtonye naitaji.. nipo dar es Salaam..
msaada hizi coke free WiFi je kuna way nyingine ya kuunganisha au ni kama kawaida unawasha WiFi then unaconnect? mfano me nmejalibu kuitumia bhana na nipo na hotspot tower yenyewe kama 2 or 5 m lakini mrejesho ni kwamba unaambiwa out of range au haiconnect kabisa, kwa anaefaham atujulishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.