Hujaelewa mkuu. Huwezi kufananisha maembe na wali, fananidha makundi yanayoendana and that's why udom umefanishwa na vyuo vingine na hao wachungaji watafananishwa na wachungaji wengine. Binafsi sijawaelewa udom kwa walichofanya.
Hata zitto alikwenda mahakamani lakini akashindwa so rudia tena analysis skills zako. Bado mapema mno kuamini alichofanya zitto kama ni cha kijasiri ama La.
Hawa wanaosema Mbowe kasema Zitto is who sijui walikuwa wanadikiliza kitu tofauti na kilichokuwa attached au vipi, au labda kizungu nacho shida kwao lakini maamuzi magumu ni muhimu sana. Hivyo nakisifuu sana chama cha CHADEMA kwa maamuzi
Watu wanaposema ndiyo matunda ya chadema au kushabikia chama kwani polisi ni Wa chadema au wa serikali ya CCM ? Huko morogoro wanapouana kila Leo na manyara kote wabunge wake ni chadema? CCM imefika ukomo wa fikra. Sishabikii chama chochote lakini natamani kuona mabadiliko ya vyama vinavyoshika...
Mimi ni wa UDSM na nnauona utofauti wangu na wengine kwenye sekta niliyopo. Uelewa wangu na wengine waliosoma vyuo vingine hasa vya ndani nauona. Japo siyo kwa ujumla kuna wanaotoka vyuo vingine lakini wako vizuri coz walijiongeza. Ukizingatia na kuexplot opportunities zilizopo UDSM esp on extra...
Ni kweli mke wa huyu kigogo alifariki muda ule ambao mgao ulipita na tukazika pale kinondoni na huyu jamaa yuko karibu sana na ruge. Jamaa tunamjua pale ofcn ni mchapa kazi mzuri mpaka boss wake anamchukia. Ila sasa hiyo issue nyingine ya escrow sijui.
naomba kuuliza, mtanisamehe kama swali lilishaulizwa kabla, mfano gari ambayo ni ya mwaka 2006 na ina cc 2000 na CIF ni USD 3500 je gharama zake in total mpaka unaendesha inaweza kuwa kiasi gani. Na mchanganuo kama mnaweza kunisaidia pia
Jamani me naomba kuuliza, mtanisamehe kama swali lilishaulizwa kabla, mfano gari ambayo ni ya mwaka 2006 na ina cc 2000 na CIF ni USD 3500 je gharama zake in total mpaka unaendesha inaweza kuwa kiasi gani. Na mchanganuo kama mnaweza kunisaidia pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.