Tehteheeee 😁😁😁😁 Wadau mnakomenti kwa hasira na mihemko bila kusoma jinsi gani katiba ibara ya 147 inawaunganisha JW, PT, MT... Msilaumu matembezi yao mnqonekana wajinga!!!
Inawezekana sana tuu. Kila mtu asikae ndani atoke nje amuangalie jirani yake. Hakuna kupanga seheu ya kukutania just msikae ndani. Hakuna polisi wala jeshi lolote linaweza kuwa kila mahali kuwarudisha watu ndani kwao......... Baada ya hapo ndio nguvu ya umma inaonekana.
Hao polisi waliopata ajali ni polisi wanafunzi, wananchi waliokuwa eneo la tukio wametoa msaada vizuri na kwa ushirikiano....
Njoo huku JamiiForums uone uone maoni ya wanajeshi wa mtandaoni wasiyemjua adui yao wanavyobwabwaja!!
Huyu anaitwa A/Insp Bright Mbwilo, kwa maelekezo ya Afande CGP, kishavuliwa Nafasi ya uongozi wa timu leo asubuhi, pia karudishwa kituoni kwake, na hadi jioni hii maktabu imeanza dhidi yake.
Ameongea kihanarakati zaidi kuliko Nafasi yake kama mtendaji ndani ya serikali. Alishindwa kukemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.