Recent content by xav bero

  1. xav bero

    Nachokitafuta nitakipata

    Mahusiano yyte yanayovunjika ni kushindwa kuwajibikiana wote wawili,aidha ww au yy.. Na ni bora kuavhwa kuliko kuacha..we endelea tu kudukua simu yake utuletee na utakachokiona huko
  2. xav bero

    Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

    Amjengee nyumba kwani yeye hata kiwanja anacho???
  3. xav bero

    Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

    Mnajamba jamba tu ila sindanobya chuma imewaingia kila sikunaleta matamko jf,subirin hvyo hvyo tena mara paaap 2025 hii nyambafuu
  4. xav bero

    Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

    Wala usihangaike sana PM we nenda Ilula pale kwa Mzee Makanyaga basi.. Bahati mbaya amefariki lakini watoto wake bado wapo wanaendeleza alichokua anakifanya baba yao
  5. xav bero

    Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

    Ile ni Ndagu ya kichawi,,unakua tajiri unakufa gafla,,wataalam wanaita Punje za mahindi kwa kuku
  6. xav bero

    Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

    Maswali kama haya ndio hanazid kuwapoteza kbsa kisiasa,wakat mnaijadili miaka miwili kuhusu neno mbwa wao wanaandaa ilani mpya ya 2030,baadae watakuja na neno lingine kushtuka uchaguz huu mnaqnza kulia lia kutafuta huruma yetu. Punguzeni kushupalia vitu vdogo vdgo vinazid watoa kwe ye reli,na...
  7. xav bero

    Miaka ya karibuni Vijana wanafariki wakiwa na umri mdogo sana

    Kimaandiko haikupaswa kua hiv ila ilipasa alikutangulia ndio aanze kufa,yaan mtoto anamzika baba sio baba anamzika mtoto,soma vzr maandiko
  8. xav bero

    Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

    Naiman huijua tanga wewe,kaa tulia mzee baba utakuja kuomba uhamisho uhamia huko huko
  9. xav bero

    Dada zetu, sio kila mwanaume anayekununulia bia anataka kukunyandua wengine ni kampani tu inatosha

    Jambo zuri la maana ili tusipoteze uanaume wetu tuwekee namba yake hapa mkuu, kwa hisan ya wajumbe plz
  10. xav bero

    Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

    Akitoka sa nane usiku ntamvizia huyu nimkabe ha ha ha ha (jokes)
  11. xav bero

    Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

    Furaha ya muhusika ipo ndani ya muhusika mwenyewe ila tatizo wewe hujaikubali furaha yako sasa unataka furaha kutoka nje, so kweli tafuta mtu akukojoze haswa mpaka ulegee na hakika utaanza kugain pole pole
  12. xav bero

    Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

    Pole sana hii inawaathiri wanawake wengi ambao hawakojozwi kitandani ila ukimpata dume akawa anakukojoza kila mara furaha yako itarudi.
  13. xav bero

    Utajuaje Ndoa yako imevunjika kisheria na ukaruhusiwa kuoa au kuolewa bila kwenda Mahakamani?

    We mbulula ukioa au kuolewa una pewa vyeti viwili,kimoja cha serikalin na kingine cha dhehebu unaloabudu... Na yte haya ndoa haiwez kuvunjika mpk mmoja aridhie,,haswa mwanamke..Unadhan kuvunja ndoa ya kikristo shughuli yake ndogo tu?? Labda mmoja afe...
  14. xav bero

    Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

    Unaijua Bilion 2 na milion miatatu wewe,uwoya sepetu daaah unachekesha mkuu,, Uwoya hata milion 40 hana Sepetu hata milion 50hana
  15. xav bero

    Ndoa nyingi kuvunjika chanzo chake ni kutokuwa na utayari

    Na mwisho ni kwamba ukiona ndoa imevinjika bas tambua wote wawili mmeshindwa kuwajibikiana
Back
Top Bottom